Waamuzi ni pasua kichwa, majanga kibao “Mwamuzi Emmanuel Mwandembwa (Arusha) amefungiwa miezi (6) kufanya kazi ya uamuzi wa mpira wa miguu kwa kosa la kushindwa kutafsiri vyema sheria 17 za mpira wa miguu jambo lililosababisha...
PRIME Vigogo hawa watatoboa Kimataifa TIMU za Simba, Yanga kuanzia Agosti 18 zitaanza mtihani mpya wa kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Azam na Singida zikishiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Hii ni michuano mikubwa...
Kaze ataja kirusi ndani ya Yanga KOCHA aliyeachishwa kazi na Yanga wiki iliyopita, Cedric Kaze ameibuka hadharani kupitia Mwanaspoti na kueleza mambo mazito yaliyomkuta lakini akasema Kocha mpya ajaye (Hubert Velud raia wa...
PRIME Bara kuna Simba na Yanga, halafu Kagere na Tambwe KATIKA soka la Tanzania kuna Ligi Kuu Bara, halafu kuna ligi ya Simba na Yanga. Ndizo timu zinazoifanya Ligi Kuu na michuano mingine ichangamke. Hata mamlaka ya soka nchini akili na nguvu zao...
PRIME Tatizo jipya Simba hili hapa ZIMEBAKI siku 12 tu kabla usajili wa Ligi Kuu Bara haujafungwa baada ya kufunguliwa mwanzoni mwa mwezi huu. Umekuwa usajili wenye pilikapilika nyingi kwa timu kadhaa huku nyingine zikiwa kimya...
Bonge la Fainali, Yanga ishindwe yenyewe tu sasa KABLA klabu 20 za Ligi Kuu England (EPL) hazijashuka uwanjani jioni ya leo ili kuhitimisha msimu wa ligi hiyo, jijini Dar es Salaam mashabiki wa soka watakuwa wameshajua matokeo ya pambano la...
VIDEO: Geay anaandaa mwili kwa raundi 20 UKIFIKA mkoa wa Arusha mwezi Mei ni kipindi ambacho kunakuwa na baridi kali sana ambayo kwa wale ambao hawana kazi za lazima hujificha ndani, lakini wengine wanakuwa hawana jinsi kwa kuwa ni...
Yanga ya Gamondi inavyomtesa Robertinho Simba SIMBA kwa sasa hawana raha. Wanachama na wapenzi wa klabu hiyo na hata baadhi ya viongozi wanatamani wamteme Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanaona kama anawazingua kwa sasa. Ni kweli timu...
Singida BS vs Yanga mwisho wa ubishi KIPORO cha mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) 2022-2023 kitaliwa leo kwenye Uwanja wa Liti (zamani Namfua), uliopo mjini Singida. Kiporo hicho...
Ngassa: Pale Simba wamepigwa WACHEZAJI wengi siku hizi ambao wamestaafu soka ama wanaelekea kustaafu huonekana wakisomea ukocha lakini hii imekuwa tofauti kidogo kwa winga wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Mrisho Khalfan...