PRIME Karia anakaribia umakamu CAF Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na baraza la soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, Wallace Karia amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka (CAF).
PRIME PUMZI YA MOTO: Yanga, Simba zisitufanye tuidharau busara "Mpira wetu unaharibiwa na TFF kwa sababu wanatumia BUSARA badala ya kanuni."
Buriani Doye Moke, nenda kipa wa boli KIFO kimeumbwa, lakini hakizoeleki. Kifo kinauma kwa vile kinatengenisha wapendanao. Na bahati mbaya ni kwamba kifo hakikwepekwi.
PRIME Shikamoo Wananchi YANGA imefanikiwa kuzishinda mamlaka za mpira wa Tanzania...kuushinda mpira wa Tanzania. Kitendo cha kuwaangusha viongozi wa juu kabisa wa Bodi ya Ligi na TFF kina maana kwamba Yanga wamekuwa...
PRIME Sowah, Camara wana siku 18 ngumu Simba KIKOSI cha Simba kinarudi tena katika kambi ya mazoezi kuanzia leo Jumatatu, ikiwa ni saa chache tangu irejee kutoka kambini jijini Cairo, Misri ilikokuwa kwa muda wa mwezi mmoja ikijifua na...
PRIME Simba yafanya umafia Kenya SIMBA wameonyesha ukubwa wao kwa mara nyingine. Kuna jambo ambalo wamefanya kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars ambalo limemtibua Kocha Benni McCarthy. Ni jinsi...
MTU WA MPIRA: Ajibu amepiga hatua moja mbele, kumi nyuma IBRAHIM Ajibu. Kipaji kikubwa cha soka katika zama hizi. Fundi haswa. Ukimtazama anakufanya uone soka ni kazi rahisi sana. Wakati anachipukia pale Simba watu walimtabiria makubwa. Alitazamiwa...
MTU WA MPIRA: Nabi ni kocha bora zaidi kuwahi kutokea Yanga? YANGA ipo kwenye kilele cha mafanikio. Imebeba taji la Ligi Kuu Bara ikiwa na michezo miwili mkononi. Imebeba taji hilo kwa mara ya pili mfululizo. Hilo ni taji la 29 kwa timu hiyo tangu ligi...
MTU WA MPIRA: Bado hatuamini soka letu limepiga hatua kubwa Afrika? SOKA letu limepiga hatua sana hasa katika ngazi ya klabu. Inafurahisha kuziona Simba na Yanga kwenye hatua ya makundi ya michuano ya CAF. Tumepiga hatua. Ilikuwa nadra sana kuziona timu za...
MUBIRU: Kocha wa mataji anayezitaka Simba, Yanga PAMOJA na kutozungumzwa sana, lakini Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mubiru Abdallah ni miongoni mwa makocha wenye uwezo na ubora katika kufundisha soka kwa mbinu zenye manufaa.