MZEE WA UPUPU: Maelekezo CAF na migogoro kwenye mpira wa Tanzania
SHIRIKISHO la Soka barani Afrika, CAF, limetoa maelekezo kwa vyama wanachama wake ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwamba mwisho wa kuwasilisha majina ya klabu na wachezaji wao kwa...