Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9169 results for Mwandishi :

  1. PRIME Kwa mbinu hizi Al Ahly wanapasuka

    MECHI inayosubiriwa kwa hamu kubwa kwa sasa hapa nchini na Afrika kwa ujumla ni kati ya Simba na Al Ahly inayopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Ijumaa. Huo ni mchezo wa ufunguzi wa African Super...

  2. Financial Fair Play ilivyookoa klabu za England, Hispania - 2

    JANA tuliona dhamira kuu ya uanzishwaji wa Financial Fair Play kwenye soka la Ulaya ambapo lengo kuu lilikuwa kuweka udhibiti kwenye matumizi ya pesa ili kuzilinda klabu zisifanye matumaini...

  3. JIWE LA SIKU: Samatta anatuachia msala Tanzania

    FAINALI za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zilianza rasmi jana Jumamosi huko Ivory Coast zikishirikisha mataifa 24 ikiwamo Tanzania iliyopangwa Kundi F pamoja na Zambia, Morocco na DR...

  4. Mazito mamne yanafikirisha Afcon

    FAINALI za 34 za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zinaendelea Ivory Coast. Kwenye fainali hizo kuna mambo mengi unaweza ukawa umeyaona na unajiuliza maswali mengi bila majibu ya kukushibisha...

  5. Zilikuwa siku 10 za kibabe Mapinduzi Cup 2024

    LADY Jaydee aliwahi kuimba wimbo usemao ‘Siku Hazigandi’. Huwezi kumbishia, ni kweli siku huwa hazigandi, kwani hata huko kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 siku zinazidi kuyoyoma. Ndio...

  6. JIWE LA SIKU: Aziz Ki utapigaje pale, Diarra utadakaje?

    ABIDJAN, IVORY COAST. HATUA ya makundi ya michuano ya Afcon 2023, ilitamatika Jumatano usiku, wiki hii na sasa imefungua njia kwa hatua muhimu ya 16 Bora. Hatua ya makundi ilikuwa na mshangao...

  7. JIWE LA SIKU: Aziz KI, Diarra lazima mmoja arudi Yanga

    ABIDJAN, IVORY COAST. HATUA ya makundi ya michuano ya Afcon 2023, ilitamatika Jumatano usiku, wiki hii na sasa imefungua njia kwa hatua muhimu ya 16 Bora. Hatua ya makundi ilikuwa na mshangao...

  8. MZUKA WA GOFU: Tanzania na historia ya kibabe

    GOFU ni miongoni mwa michezo mikongwe hapa nchini ukiachana na soka, riadha na ngumi ikielezwa kwamba ulianza kuchezwa mwaka 1950. Wakati mchezo huo unaanza kuchezwa ilikuwa ni miaka 10 kabla ya...

  9. Kwa Mkapa kisasa zaidi, kuanza kuboresha haya...

    YANGA ipo kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa imefanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Afrika kuliko kipindi kingine chote ambacho imeshiriki michuano hiyo. Hata...

  10. Raundi ya 29, kibabe zaidi Bara

    RAUNDI ya 29 ya Ligi Kuu Bara juzi ilifungwa kibabe kwa kushuhudia matokeo ya kushangaza, lakini gumzo likiwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya na Azam Complex, Dar es Salaama wakati vigogo...

    New Content Item (1)
Previous

Page 908 of 917

Next