Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9169 results for Mwandishi :

  1. Mjadala wa Simba, Yanga unafia hapa

    MECHI ya Simba na Yanga ndiyo kubwa ambayo inasubiriwa kwa siku chache zijazo kabla timu hizo hazijacheza michuano ya kimataifa siku chache mbele. Mechi hii ni ya pili kwenye Ligi Kuu Bara msimu...

  2. Mchezaji ghali JKT milioni 10

    MWANASPOTI lilipata nafasi ya kwenda kwenye kambi ya JKT Tanzania, likishuhudia shughuli mbalimbali zilizokuwa zinaendelea, kwa maana ya wapishi walikuwa wanafanya kazi yao, ila kubwa zaidi wapo...

  3. JIWE LA SIKU: Ivory Coast ilivyofeli kumuacha Pacome Dar

    HIVI umeshawahi kujiuliza kiungo wa Yanga na timu ya Taifa ya Ivory Coast, Pacome Zouzoua angekuwepo katika Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini humo ingekuwaje? Kwa...

  4. PRIME Pacome anajua, halafu anajua tena!

    WAKATI anatambulishwa kwa mashabiki, kuna watu walimchukulia poa. Unajua kwa nini? Hakuwa na rekodi tamu za kusisimua, zaidi ya kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Ivory Coast. Na hii...

  5. JIWE LA SIKU: Yanga walivyoziba pengo la Mayele kimyakimya

    KABLA hajapanda ndege kwenda Riyadh, Saudi Arabia, msimu mmoja nyuma yake Manchester City walikuwa mabingwa wa Ligi Kuu England na mfungaji bora alikuwa Riyad Mahrez. Alifunga mabao 24 ya msimu...

    New Content Item (1)
  6. PRIME PUMZI YA MOTO: Mcolombia wa Azam FC aikataa jezi

    FRANKLIN Jesus Navarro, nyota mpya wa Azam FC kutoka Colombia, ameikataa namba ya jezi aliyoandaliwa na klabu hiyo. Navarro ambaye kwao alikuwa akivaa jezi namba 10, aliandaliwa jezi namba 13...

  7. Ishu ya Asante Kwasi na Simba iko hivi

    Bado Simba hawana sababu ya kuwa na hofu, wanaweza kutoa hoja zao za msingi kwa CAS na kuomba hukumu, kisha wakalipa na kukwepa adhabu hiyo.

  8. Waletee Simba na Yanga

    SIMBA inaanza leo, Yanga kesho kwenye mechi za awali za makundi za michuano ya CAF. Wekundu wa Msimbazi wapo Guinea kutupa karata ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ikiwa Kundi C kwa kuuamana...

  9. Simba yafyeka wachezaji 20

    KATIKA mfululizo wa makala hii maalumu ilitokana na mahojiano na nyota wa zamani wa Simba aliye kocha msaidizi wa timu huyo, Seleman Matola na kuona namna alivyosajiliwa kwa Sh 100,000 huku...

  10. Ndemla tuliyemsubiri, tumemuona

    MASHABIKI wengi wa soka Tanzania wanakumbuka mwaka 2013, wakati Yanga ilipokuwa inavaana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Mkapa). Waliojaa...

    New Content Item (1)
Previous

Page 897 of 917

Next