PUMZI YA MOTO: Azam usingizi wa kibongo, ndoto za kizungu
KWENYE moja ya simulizi zake, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, aliwahi kutoa kisa kimoja cha Sir George Kahama, mmoja wa mawaziri wa serikali ya kwanza baada ya uhuru, akihudumu kama waziri...