MTU WA MASHABIKI: Huyu Mkude anastahili kujengewa mnara MAPEMA wiki hii Simba ilikuwa bize ikihitimisha wiki yao iliyonogeshwa na tamasha bab’kubwa la Simba Day. Ni tamasha lililonoga na kuwapa mzuka mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kiasi cha...
Diva afunguka penzi lake kwa Neymar JUNI 28, mwaka huu, mmoja wa burudani za soka ulimwenguni, Neymar da Silva Santos Junior, ukipenda Neymar Jr au kifupi tu Neymar, alitupia picha kwenye akaunti yake ya Instagram, akiwa na mtoto...
Eti walibebwa? KUNA ubishi unaendelea mtaani juu ya uhalali wa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu huu. Kuna wale ambao wanaona Yanga alistahili na wengine wanabisha. Ubaya ni kwamba baadhi ya mashabiki wa...
YANGA : Ijitoe mhanga kuchangamsha ligi yetu SIKUTAKA kukurupuka kutoa maoni yangu kuhusiana na sakata la Azam TV mpaka nilivyofikiria kwanza
Mnalia Ruge kufa! Tusherehekeeni ILIKUWA Aprili 2012. Kipindi ambacho Taifa la Tanzania lilikuwa limeondokewa na tunda jema la sanaa za maigizo, Steven Kanumba. Kwenye line ya simu nilikuwa nazungumza na Ruge Mutahaba.
KATIBA MPYA SIMBA: WAJUMBE SABA TU WANATOSHA BODI YA WAKURUGENZI Wajumbe saba waliochaguliwa na kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 27 watakuwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi na watafanya kazi kwa mujibu wa kanuni zinazoongoza bodi ya wakurugenzi zilizoidhinishwa...
MZEE WA UPUPU: Injinia Hersi Said alipoishi kiinjinia JUNI 11 ilikuwa siku ya kutangaza majina ya wagombea waliopita kwenye mchujo wa awali wa uchaguzi mkuu wa klabu ya Yanga. Muda mfupi kabla majina hayajatoka zikaanza kusambaa picha za mmoja wa...
MZEE WA UPUPU: Manara asaidie uchunguzi WIKIENDI iliyopita kupitia akaunti yake ya Instagram, Haji Manara alifichua mbinu ambazo klabu yake ya zamani, Simba SC, ilikuwa ikizifanya kupata ushindi. Kwa kujiamini kabisa, Haji ameandika...
MTU WA MPIRA: Kamati imetumia 'siasa’ suala la Fei Toto SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu. Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe...
Wala mihogo ndo wenye Yanga yao GHAFLA sana nimemkumbuka marehemu Abbas Gulamali. Huyu alikuwa Mwenyekiti wa zamani wa Yanga. Vijana wengi wa siku hizi hawamfahamu kwa sababu hazungumzwi sana. Gulamali alikuwa anaipenda Yanga...