YANGA : Ijitoe mhanga kuchangamsha ligi yetu SIKUTAKA kukurupuka kutoa maoni yangu kuhusiana na sakata la Azam TV mpaka nilivyofikiria kwanza
Mnalia Ruge kufa! Tusherehekeeni ILIKUWA Aprili 2012. Kipindi ambacho Taifa la Tanzania lilikuwa limeondokewa na tunda jema la sanaa za maigizo, Steven Kanumba. Kwenye line ya simu nilikuwa nazungumza na Ruge Mutahaba.
KATIBA MPYA SIMBA: WAJUMBE SABA TU WANATOSHA BODI YA WAKURUGENZI Wajumbe saba waliochaguliwa na kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 27 watakuwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi na watafanya kazi kwa mujibu wa kanuni zinazoongoza bodi ya wakurugenzi zilizoidhinishwa...
MZEE WA UPUPU: Injinia Hersi Said alipoishi kiinjinia JUNI 11 ilikuwa siku ya kutangaza majina ya wagombea waliopita kwenye mchujo wa awali wa uchaguzi mkuu wa klabu ya Yanga. Muda mfupi kabla majina hayajatoka zikaanza kusambaa picha za mmoja wa...
MZEE WA UPUPU: Manara asaidie uchunguzi WIKIENDI iliyopita kupitia akaunti yake ya Instagram, Haji Manara alifichua mbinu ambazo klabu yake ya zamani, Simba SC, ilikuwa ikizifanya kupata ushindi. Kwa kujiamini kabisa, Haji ameandika...
MTU WA MPIRA: Kamati imetumia 'siasa’ suala la Fei Toto SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu. Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe...
Wala mihogo ndo wenye Yanga yao GHAFLA sana nimemkumbuka marehemu Abbas Gulamali. Huyu alikuwa Mwenyekiti wa zamani wa Yanga. Vijana wengi wa siku hizi hawamfahamu kwa sababu hazungumzwi sana. Gulamali alikuwa anaipenda Yanga...
Orodha ya kampuni bora za kubeti mtandaoni Tasnia ya michezo ya kubeti imekuwa ikukua kwa siku hadi siku ikiwavutia watu wengi hasa vijana. Kwa Tanzania serikali imekuwa ikiingiza mapato kupitia kodi mbali mbali .
AFCON 2025: Mwali atasakwa kwenye nyasi hizi HAZIZIDI wiki mbili kabla ya kuanza kwa mchakamchaka wa mashindano ya Afcon 2025 huko Morocco na hamu ya wengi ipo kwenye viwanja venye viwango vya dunia vitakavyotumika kwenye michuano mikubwa...