Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9353 results for Mwandishi Wetu :

  1. Mshahara wa kocha anayehusishwa Simba huu hapa

    WAKATI joto la kocha atakayechukua nafasi ya Didier Gomes ambaye ameachana na timu hiyo baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa juu, bado timu hiyo inachakata majina ya waliotuma CV...

  2. Mashindano ya kuogelea la Kanda ya nne yaanza kwa kishindo

    Dar es Salaam. Mashindano ya kuogelea ya Kanda ya nne Afrika (Cana Africa Zone 4) yameanza kwa kishindo jijini Dare s Salaam huku waogeleaji wa Tanzania wakionyesha makali yao. Mashindano hayo...

  3. Yanga, Azam ya sura mpya

    ASILIMIA kubwa ya sura za mechi ya leo ya Yanga na Azam ni mpya tofauti na msimu uliopita. Yanga na Azam mara ya mwisho walikutana Aprili 25 mwaka huu na Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 hadi...

  4. Hawafai, waamuzi 'machizi'

    MICHEZO mingi iwe ya kirafiki au ya mashindano husimamiwa na waamuzi kwani kutokuwapo kwao kunaweza kutokea wachezaji, viongozi na hata mashabiki kutokubaliana na kusababisha vurugu. Hivyo ndivyo...

  5. Waamuzi wapewa onyo zito

    SIKU chache baada ya waamuzi wa soka visiwani Pemba kupewa mafunzo maalumu kwa ajili ya Ligi Kuu ya Zanzibar, Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), limesema halitamvumilia mwamuzi yeyote...

  6. EXCLUSIVE: Gomes afunguka.. kuna watu wameonewa

    INATIA huruma. Ukiwasikiliza masimulizi yao makocha waliofutwa kazi na klabu ya Simba jana, utawahurumia, hasa Adel Zrane ambaye alilia hadi macho yakamvimba.

  7. Fred Lowassa kuwapeleka wachezaji bora Qatar kushuhudia Kombe la Dunia

    Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fred Lowasa ametoa ahadi ya kuwapeleka kuangalia Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 wachezaji bora watakaofanya vizuri katika michezo yao katika mashindano ya...

  8. Kocha Pyramids aiwazia Azam FC

    KOCHA wa Pyramids FC ya Misri inayokipiga na Azam FC Jumamosi saa 9 mchana jijini Dar es Salaam, amesema wanacheza mechi hiyo kwa tahadhari kubwa. Pyramids ambao wapo nchini tayari kocha wao...

  9. Simba ni pasi mbili bao

    KIKOSI cha Simba leo jioni kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Beach Veteran, Dar es Salaam na kujinoa kwa mazoezi mbalimbali huku zoezi la kupiga pasi mbili na kufunga likionekana kuwa la...

  10. HISIA ZANGU: Ugonjwa wa kumlaumu Mbwana Samatta utakwisha lini?

    MARA baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Tanzania dhidi ya Berlin pale Uwanja wa Mkapa- Temeke, mwandishi mmoja asiyejitambua alimfuata Mbwana Samatta na kumuuliza swali. “Mashabiki...

Previous

Page 878 of 936

Next