Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mshahara wa kocha anayehusishwa Simba huu hapa

WAKATI joto la kocha atakayechukua nafasi ya Didier Gomes ambaye ameachana na timu hiyo baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa juu, bado timu hiyo inachakata majina ya waliotuma CV zao.

Rulani Mokwena (34) ambaye anainoa Mamelodi Sundwons anahusishwa zaidi na Simba, huku mshahara wake anaolipwa umefahamika ni Randi 650,000 (Sh 98 milioni) kwa mwezi

Anashika nafasi ya Tano katika orodha ya makocha wanaolipwa mshahara mkubwa katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini nyuma ya Stuart Baxter, Manqoba Mngqithi, Josef Zinnbauer, Eric Tinkler

1. Stuart Baxter- R 800,000

2. Mngqithi- R750,000

3. Zinnbauer- R 650,000

4. Tinkler- R 650,000

5. Rulani Mokwena- R650,000

6. Benni McCarthy-R600,000

7. Jan Olde-R600,000

8. Steve Komphela- R600,000

9. Kaitano Tembo- R500,000

10. Steve Barker- R400,000

(34) anayeinoa Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini ambaye karibuni ameingia kwenye rada za Simba mshahara wake umefahamika.

Mokwena anayehusishwa kuwa kocha mkuu Simba, analipwa Randi 650,000 sawa na Sh98 milioni kwa mwezi.

Anashika nafasi ya tano katika orodha ya makocha wanaolipwa mshahara mkubwa katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini nyuma ya Stuart Baxter, Manqoba Mngqithi, Josef Zinnbauer, Eric Tinkler

1. Stuart Baxter- R 800,000

2. Mngqithi- R750,000

3. Zinnbauer- R 650,000

4. Tinkler- R 650,000

5. Rulani Mokwena- R650,000

6. Benni McCarthy-R600,000

7. Jan Olde-R600,000

8. Steve Komphela- R600,000

9. Kaitano Tembo- R500,000

10. Steve Barker- R400,000