Takwimu 5 kali ndani ya rekodi NBA ARIZONA, MAREKANI: MSIMU mrefu wa NBA 2024-25 unaelekea ukingoni ukiwa umejaa rekodi mpya na matukio ya kukumbukwa. Zikiwa zimesalia saa chache tu kabla ya msimu wa kawaida kufungwa, haya hapa ni...
Liverpool haijamaliza EPL 2024/25 MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu England zimeshafika kikomo na sasa ni kutafuta heshima tu. Liverpool imebakiza mechi nne kwenye Ligi Kuu England msimu huu na hakika hizo ni mechi ambazo zitakuwa na...
Kwa Folz... Yanga ipo kisasa zaidi Yanga juzi ilimtambulisha kocha mpya, Romain Folz kuchukua nafasi ya Miloud Hamdi aliyeondoka katika timu hiyo mara baada ya msimu kumalizika.
Isak katikati ya dili za usajili zilizokuwa gumzo Ulaya STRAIKA, Alexander Isak ameripotiwa kurejea Newcastle kwenda kuzungumza na mabosi wa Newcastle United juu ya hatima yake kwenye dirisha hili la usajili.
Uhondo wa ngumi na mambo kumi ya kuvutia KWA nini unashangaa sasa kuona kuna mchezo wa ngumi? Kwa nini watu wapigane wakati hawajakosana? Inakuwaje ngumi zinapigwa na watu kutoana damu, ngeu au hata kusababisha vifo? Umeshawahi...
DEAR EX: Wamezikamua pesa nyingi timu za utotoni zilipowarudisha KWA mashabiki wa soka, hakuna kitu kitamu kwao kama kuona mchezaji wao akiibukia kutoka kwenye akademia zao kisha akapata namba kwenye kikosi cha timu ya wakubwa na kufanya vizuri akiwa panga...
Namba zaibeba Stars, hesabu za robo zikianza KATIKA msimu huu wa mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2024), takwimu zimeonyesha kuwa timu ya taifa la Tanzania ‘Taifa Stars’ ndio timu iliyofanya vizuri zaidi katika...
PRIME Walioingia kwenye mfumo wa Mfaransa Yanga watajwa! KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa mazoezi kambini Avic Town, Kigamboni chini ya kocha Romain Folz kikijiandaa na msimu mpya wa mashindano wa 2025-26, huku kocha huyo akiwa amelainishiwa...
PRIME PUMZI YA MOTO: Nauona msimu huu ukikumbwa na mgogoro ratiba Ligi Kuu Msimu wa 2023/24 wa Ligi Kuu Bara ulianza Agosti 15 na hadi mwezi huo unaisha, mizunguko miwili tayari imechezwa. Pia mwezi huu kunaweza kuwa na mzunguko miwili tu na Oktoba kukawa na mizunguko...
PRIME MTU WA MPIRA: GSM wananikumbusha jeuri ya Yussuf Manji NYAKATI zinakuja na nyakati zinakwenda. Ndio maisha ya mwanadamu. Hakuna nyakati zitakazodumu milele. Ni kama zilivyokuwa nyakati za Wema Sepetu katika ulimbwende nchini. Kuna nyakati kila...