Mashindano ya soka kwa watoto yazinduliwa Geita Geita. Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imezindua mashindano ya mpira wa miguu kwa watoto wanaozunguka mgodi huo ili kukabiliana na changamoto ya watoto kuingia kwenye eneo la...
Jeshi la Kaze balaa jipya KIKOSI kazi cha Kaze kina jambo lake msimu huu. Na katika kuthibitisha jeshi la Yanga linataka kurejesha utawala wa soka nchini mikononi mwa Wanajangwani, nyota wake wamebadilisha upepo wa...
PRIME WCB Wasafi walivyonogewa na Amapiano! Kwa miaka minne sasa muziki wa Amapiano unazidi kuchukua nafasi kubwa katika Bongofleva, huku wasanii WCB Wasafi wakiamua kwenda sambamba na upepo huo mithili ya samaki na maji, inaonekana ni...
Bangala alivyowang'oa Muguna, Ndala Azam! "BANGALA karibu Mbagala," ndivyo lilivyosomeka chapisho la Azam FC kwenye ukurasa wake wa Instagram lilitangaza ujio wa kiraka Yannick Bangala kutoka Yanga SC. Bangala amesaini mkataba wa miaka...
PRIME MTU WA MPIRA: Mkude, kila enzi zina mwisho wake NI ngumu sana kufikiri. Ni ngumu pia kuamini. Baada ya miaka 13 ndoa ya Jonas Mkude na Simba imevunjika. Ni huzuni sana. Siku zote watu hufahamu mwanzo wao lakini mwisho huwa mgumu sana. Ni Kama...
Simba Day hapatoshi Dar NI dakika 90 za nyota wa Simba hasa wale wapya kuthibitisha ubora wao kwa mashabiki na wapenzi wa timu hiyo pamoja na wadau wa soka nchini wakati watakapoikaribisha TP Mazembe katika Uwanja wa...
MTU WA MPIRA: Hii Yanga ya Gamondi tutalaumu wapinzanzi bure KUNA watu wanateseka kwa vita. Kuna watu wanateseka kwa njaa. Kuna watu wanateseka na magonjwa. Mateso ni mengi sana. Halafu kuna watu wanateseka na Yanga. Ndio. Leo nitazungumzia hawa...
Baiskeli ya mashindano ya bei ghali zaidi KAMA kuna mambo ya kushangaza, basi huja pale unapoambiwa jambo ambalo wala hukufikiria kwamba lingeweza kuwa vile ambavyo hujafikiria. Na hivyo ndivyo ilivyo pia katika baiskeli za magurudumu...
PRIME GOAL MACHINES: Kwa mastraika hawa, Sowah wenzake kazi wanayo! MSIMU mpya wa mashindano wa 2025-26 umeanza kunoga, huku mashabiki wakiwa na hamu ya kutaka kuona nyota wapya waliosajiliwa na klabu za Ligi Kuu Bara watafanya maajabu gani.
Brian Deacon: Huyu ndiye aliyeigiza filamu ya Yesu na kuwachanganya wengi HAKUNA ubishi zipo filamu nyingi zinazohusiana na simulizi za kidini hususani za Yesu Kristo, lakini filamu iitwayo Jesus ndio iliyobamba zaidi na kutumika kusambaza Injili sehemu mbalimbali...