Hii ndo DR Congo ya Fiston Mayele Kombe la Dunia DR Congo ambayo ina mchezaji aliyewahi kutamba Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele akiwa na Yanga ni moja ya timu zenye hadhi kubwa katika soka la Afrika, ikiwa na utambulisho uliojengwa kwa miongo mingi.
Nje ya soka fani zao zingine ni hizi! UNAWAJUA vyema uwanjani. Unaijua kazi yao wanaposakata soka wakiwa katika jezi za timu kubwa duniani Ulaya. Unawafahamu kwa majina na wakati mwingine unavaa jezi zenye majina na namba wanazovaa...
Simba wa Teranga mguu sawa marekani BAADA ya Morocco kuweka historia ya kufika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar, taifa jingine ambalo linaendelea kubeba matumaini Afrika kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2026 huko...
Mastaa saba wanaoweza kuamua dabi Soweto ORLANDO Pirates wanawakaribisha watani zao wa jadi, Kaizer Chiefs katika dabi ya 182 ya Soweto itakayochezwa leo katika Uwanja wa FNB.
Canada kusaka ushindi wa kwanza Kombe la Dunia NYOTA wa Bayern Munich, Alphonso Davies amejumuishwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 26 wa timu ya taifa ya Canada kitakachoshiriki Kombe la Dunia 2026, licha ya kuwa bado anaendelea...
Walipo mastaa Arsenal waliocheza fainali Ulaya miaka 20 iliyopita JUMAMOSI iliyopita Arsenal ilishindwa kubeba ubingwa wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupoteza kwa penalti 4-3 dhidi ya PSG katika Uwanja wa Puskas uliopo Budapest, Hungary. Timu...
Kombe la Dunia 2026, sherehe tatu za ufunguzi zitakazoandika historia KOMBE la Dunia la FIFA 2026 linatarajiwa kuwa moja ya matukio makubwa zaidi ya michezo kuwahi kushuhudiwa duniani, sio tu kwa ukubwa wake wa kimashindano bali pia kwa namna litakavyopangiliwa.
Chicharito aitaka Mexico kuanza kwa kishindo Kombe la Dunia 2026 MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya taifa ya Mexico, Javier ‘Chicharito’ Hernandez anaamini Mexico inaweza kufanya vizuri katika Kombe la Dunia 2026, lakini jambo muhimu zaidi ni kuanza mashindano...
Japan wanapeleka ujuzi wa mbio, chenga Marekani JAPAN ni miongoni mwa mataifa 48 ambayo yatakuwa katika ardhi ya Amerika Kaskazini mwezi ujao kwenye fainali za Kombe la Dunia, likipeleka wakali wake wengi wenye ujuzi wa kuwatoka wapinzani wao...