Sh10.6 bilioni zimefanya Uwanja wa Gombani uwe hivi! "NAPENDA kuipongeza Serikali kwa juhudi zake katika ujenzi wa viwanja iwe vya wilaya au mkoa. Baada ya kusema hayo, sasa nitamke rasmi kwamba uwanja mpya wa Gombani nimeufungua rasmi. Asanteni...
Kizazi kipya cha wasemaji wa timu kinavyokimbiza KUMEIBUKA kizazi flani hivi kinaupiga mwingi kwenye eneo la kuzisemea timu za Ligi Kuu Bara, wakiibuka na ladha ya tofauti kabisa tofauti na zamani ilivyokuwa.
Ngoja tuone! Rekodi zinazosubiriwa kuvunjwa Ligi Kuu England msimu huu REKODI zinawekwa ili zivunjwe. Hata za Ligi Kuu England, hadithi ni hiyo hiyo zimewekwa ili zivunjwe.
Riyama: ‘Nimeokota’ sana kuchamba watu TASNIA ya burudani katika sanaa za tamthilia na filamu nchini ina waigizaji wengi na kila mmoja ana mvuto wake, lakini Riyama Ally ambaye ni mkongwe kwa sasa ni mtu na nusu!
Hawa ndio wababe wa Mapinduzi Cup MSIMU wa 20 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi unatarajiwa kuanza rasmi kesho wakati timu za Kundi A zitakazopokuwa zikikata utepe wa mwaka 2026 katika msako wa taji la michuano hiyo ambalo kwa...
FIFA U17 ilivyoleta vyuma vilivyotikisa UNAPOANGALIA baadhi ya wachezaji waliowahi kuonyesha vipaji kwenye Kombe la Dunia, huwezi kuviweka kando vipaji vilivyoibukia katika nchi kadhaa kwenye mabara tofauti duniani.
Mayweather vs Pacquiao… Sa’ itakuwaje? KATIKA historia ndefu ya michezo ya ngumi, kumekuwa na mapambano mengi yaliyovutia hisia za mashabiki lakini ni machache ambayo yamefikia kiwango cha kuwa matukio makubwa ya kimataifa...
Miaka tisa ya dhahabu kwa Mo Salah Liverpool “KAMA hujafanikiwa mwanzo, jaribu tena na tena.” Kauli hiyo maarufu imekuwa kiini cha taaluma ya Mohamed Salah na pia safari yake akiwa Liverpool. Salah atahitimisha kipindi chake cha miaka tisa...