Mo Salah, Kane watakavyochuana kubadili msimamo wa vinara wa mabao
SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah amepanda kwa kasi kwenye orodha ya vinara wa mabao wa muda wote kwenye Ligi Kuu England, shukrani kwa kasi yake ya kutupia nyavuni karibu katika kila mechi...