Yanga mafia yaajiri shushushu kuwasoma Waarabu KIKOSI cha Yanga kipo jijini Dar es Salaam kikiendelea na maandalizi ya michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini akili zote zikiwa juu ya mechi inayofuata ya...
Simba yamganda Mazonki hadi China MABOSI wa Simba licha ya kujikausha, lakini ukweli walishtushwa sana waliposikia kwamba watani wao, Yanga wanamnyemelea Cesar Manzoki anayekipiga Vipers ya Uganda, hasa baada ya dili la kutaka...
Ushindi dabo dabo na Parimatch Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi mkubwa wa kuidhamini Klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara katika siku chache zilizopita...
Simba yatesti mitambo ya CAF VINARA wa Ligi Kuu Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba jioni ya leo watatesti mitambo ya CAF, itakapovaana na Asante Kotoko ya Ghana kwenye mechi ya michuano...
Onyango aomba kuondoka Simba UJIO wa beki wa kati kutoka Burkina Faso, Mohamed Ouattara ndani ya Simba umemfanya Mkenya Joash Onyango kupigwa benchi na Kocha Zoran Maki kiasi cha kukosa mechi mbili za awali za Ligi Kuu Bara...
Saido arejea tena Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo ililiambia Mwanaspoti, Saido amekamilisha taratibu zote na viongozi wa timu hiyo na muda wowote kuanzia sasa atatua nchini.
Akpan hajui lolote KIUNGO mpya wa Simba, Victor Akpan anayetajwa kutakiwa kutolewa kwa mkopo Coastal Union, amesema hajui lolote juu ya dili hilo linaloelezwa kufanywa kwa sababu ya kocha Zoran Maki kutokubali...
Nilichokiona Taifa baada ya miaka 26 NILIKUWA Dar es Salaam kwa siku kadhaa mwezi huu. Nimefaidika sana kuziona timu kongwe Afrika Mashariki za Simba na Yanga kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka 26 ambayo ndio mara yangu ya...
Mayele ana jambo lake, Simba nao wapo SIMBA bado ina kidonda cha kufungwa mabao 2-1 na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 lakini kana kwamba haitoshi, mabao mawili ya mshambuliaji Fiston Mayele kwenye mechi hiyo...
Wasudani wa Yanga CAF wapata kocha mpya MPINZANI wa Yanga kwenye hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, Zalan FC ya Sudan ya Kusini jana imemtambulisha kocha mpya Baping Alliab.