Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9349 results for Mwandishi Wetu :

  1. Yanga yamfuata mwarabu kishua

    MECHI sita za hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, zinaipa uhakika Yanga kuvuna Sh 2.1 bilioni, lakini jambo la kufurahisha zaidi ni namna fedha hizo zinavyowapa jeuri vijana wa...

  2. Msonda gari limewaka, mjipange

    STRAIKA mpya wa Yanga, Kennedy Musonda mwishoni mwa wiki alifunga mabao mawili wakati timu hiyo ikiifumua Rhino Rangers kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho (ASFC) 7-0 na sasa ametuma salamu nzito...

  3. Burudika na Cashout ya Parimatch

    Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeendelea kuwanufaisha wateja wake wote kwa kuwapa fursa zenye faida kubwa, ambapo kwa sasa watumiaji wake wataweza kuokoa kiasi cha fedha katika...

  4. NBC yakabidhi zawadi kwa Bruno Gomes, kocha Pluijm

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambao ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League mwishoni mwa wiki ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa mchezaji bora wa ligi...

  5. Ishu ya Yanga, SportPesa ipo hivi...

    SAA chache tu tangu Yanga imtangaze mdhamini mpya wa mechi sita za Kombe la Shirikisho Afrika, kampuni ya SportPesa ambayo ni Mdhamini Mkuu wa klabu hiyo nayo imetoa tamko la kusikitishwa na...

  6. Yanga yafafanua mazungumzo na SportPesa

    SportPesa ingawa hawakuonyesha kukubaliana na mdhamini huyo. "Tuliwatafuta mara nyingi kuanzia Novemba mwaka jana baada ya kufuzu hatua ya makundi, tukawaambia kimaandishi kwamba tunatafuta...

  7. Yanga yapeleka jezi ya bahati CAF

    YANGA juzi ilizindua jezi zake itakazozitumia katika mashindano ya kimataifa lakini uzinduzi huo umekuja na mabadiliko ambayo imeyafanya ikiamini yanaweza kuwa chachu ya kufanya vizuri katika...

  8. MO Dewji tajiri namba moja Afrika Mashariki na Kati

    Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO' Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika orodha ya watu matajiri zaidi Afrika kwa mujibu wa jarida la Forbes akishika nafasi ya 13 kwa sasa huku...

  9. Mgunda: Itakuwa zaidi ya vita

    KOCHA Juma Mgunda amekiri haikuwa rahisi kuifunga Coastal Union na kuing’oa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho (ASFC) kutokana na aina ya soka inalocheza na upinzani mkubwa uliopo, lakini...

  10. Makalla amtupia kijembe kiaina Manara

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ambaye ni mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa Uchaguzi wa Simba unaofanyika leo Januari 29, amemtupia kijembe aliyekuwa Ofisa Habari na Mawasiliano wa...

Previous

Page 835 of 935

Next