Watano Simba kutua leo Misri, wapya watatu kutambulishwa wiki ijayo SIMBA tayari imeshatua hapa Ismalia na kufikia hoteli ya kishua ya Mercure Ismailia Forsan Island tayari kwa kambi ya wiki tatu kabla ya kurejea Tanzania Agosti 5. Lakini kama hukumbuki ni kwamba...
Yanga yaitangulia Simba fainali Mapinduzi Ngoma ya kuamua nani acheze fainali za Kombe la Mapinduzi baina ya Yanga na Azam Fc ilikuwa ngumu hadi baada ya kuingia kwenye mikwaju ya penati kwani dakika 90 za awali timu hizo zilitoka sare...
Azam FC na mkakati wa Remontada REMONTADA ni neno lenye asili ya kihispaniola lenye maana ya kupindua matokeo. Neno hili lilianza kupata umaarufu mwaka 2017 lilipotumiwa na FC Barcelona kuelekea mchezo wa mkondo wa pili wa...
Simba mpya inatia raha, wanaotemwa watajwa SIMBA imepanga kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi na hata katika safu yake ya uongozi malengo yakiwa ni kuhakikisha inarudisha mataji yote iliyoyapoteza msimu huu na kuwa na muendelezo wa...
Kaburu arejesha fomu Simba KAMA ulikuwa unadhani Makamu wa Rais wa zamani wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ anabipu kwenye mbio za kutaka kurejea madarakani, basi pole yako, kwani kigogo huyo hatanii baada ya Ijumaa...
PRIME PUMZI YA MOTO: Wachezaji Azam FC hawamtaki Kocha Dabo HATIMAYE jinamizi la makocha kukataliwa na wachezaji wa Azam FC limeibuka tena kama ambavyo hutokea kila mwaka. Katika umri wake wa miaka 15 kwenye Ligi Kuu, Azam FC imewahi mara moja tu kuanza...
Mechi inayofuata baada ya kipigo kikubwa -3 TUNAENDELEA na simulizi zetu za mechi ijayo ya watani wa jadi, Aprili 20 mwaka huu…yaani Jumamosi hii! Hii ni mechi ya kwanza tangu Yanga wawape watani wao Simba kipigo kikubwa cha 5-1, Novemba...
PRIME Simba yamvutia waya Ibenge, bosi wa Nabi nae yumo JINA la kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge (62) linatajwa kupewa kipaumbele cha kwanza na mabosi wa Simba kumrithi Abdelhak Benchikha aliyeondoka mwishoni mwa mwezi uliopita lakini wakati...
Siri iliyojificha Simba Zanzibar Simba imeenda tena kuchukua maujanja Zanzibar kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11:00...
Ebwanaeee... Ngoma za hawa zilivuma sana Bongo Wimbo ukipendwa Tanzania, ulikuwa unatawala mitaa, redio na klabu mbalimbali na wasanii wengine hadi leo ngoma zao zinafanya vizuri.