Bonabucha: Nilipigwa ngumi nikacheua nyama MIAKA ya 2000 mwanzoni, vijana wa mitaa ya Temeke, Dar es Salaam walisumbua katika makundi ya kudansi kwenye matamasha waliyokuwa wakiyaandaa kupitia makundi. Ukweli pesa ilitembea siyo kitoto na...
PRIME Manula katikati ya timu nne AISHI Manula ni moja ya makipa bora zaidi kuwahi kutokea hapa nchini kwa miaka ya hivi karibuni.
PRIME SIRI IMEFICHUKA! Hiki hapa kinachoipa jeuri Yanga kususia 'Dabi' Jumatatu, Mei 5 mwaka huu, kamati ya utendaji ya Yanga ilitoa tamko zito la kugomea kucheza mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu dhidi ya mtani wao wa jadi Simba ‘Kariakoo Dabi’ ambayo awali...
PRIME Azam FC ilivyozipiku Simba, Real Valladolid kwa Lameck Lawi NAHODHA wa timu ya Taifa chini ya miaka 20, Lameck Lawi amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC akitokea Coastal Union. Hata hivyo, uhamisho wake haukuwa tambarare hata...
1xBet yaingia fainali ya tuzo za SiGMA Afrika 2025 Kampuni bora ya kimataifa ya michezo ya kubashiri ya 1xBet ambayo ni miongoni mwa kampuni vinara katika sekta ya michezo ya kubashiri kwa njia ya mtandao (iGaming) na inayoaminika zaidi na...
Aprili 2025: Matukio makubwa ya kimichezo ndani ya 1xBet Kama unapenda michezo na unahitaji matukio bora ya michezo kwa ajili ya ku bet on April events, 1xBet ina machuguo bora kwa ajili yako. Bashiri kistaarabu na tumia muda wako kufanya machaguo...
PRIME Mambo sita yashikilia Kariakoo Dabi YANGA imeweka ngumu ikisema haitatia timu kwenye mchezo namba 184 dhidi ya Simba ambao uliota mbawa, baada ya kushindwa kuchezwa Machi 8, 2025 pale Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini mabosi wa juu...
Bibi bomba wanaupiga hadi raha WANAWEZA wasiwe na mbinu kama Lionel Messi au Cristiano Ronaldo, lakini hilo halijawazuia mabibi hawa wa Kiafrika kujifunza mbinu za kukaba na kupiga pasi.
Buriani Uncle Lundenga, tangulia kamanda! Mratibu huyo wa zamani wa shindano la urembo la Miss Tanzania, aliyekumbwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mrefu atakumbukwa kwa mengi katika tasnia ya urembo, muziki pamoja na michezo.
GLT hii ndio dawa ya mabao ya utata BAO lile. Hapana, sio bao. Ni ubishani unaojitokeza mara kwa mara kwenye mchezo wa soka, inapotokea mpira uliopigwa haukuonekana sawasawa kama umevuka mstari wa goli au la.