NIONAVYO: Klabu zingine zijifunze kwa Tabora United . Mfano, angalia mchezo wa kwanza wa Azam dhidi ya Tabora, wageni hao walifungwa wakiwa pungufu na katika mchezo wa marejeano timu hizi zinatoshana nguvu kwa kutoka suluhu. Matokeo ya mchezo huo...
PRIME Mambo manne ya kocha mpya Yanga hadi Septemba 2022 – mechi 6 AmaZulu FC (RSA) – Oktoba 2022 hadi Aprili 2023 – mechi 19 Horoya AC (Guinea) – Agosti 2023 hadi Oktoba 2023 – mechi 2 Mamelodi Sundowns (RSA)– Julai 2024 hadi...
KIJIWE CHA SALIM SAID SALIM: Hivi ni zaidi ya vitimbi maombolezi. Mwandishi mmoja alipomuuliza ilikuaje hata pakawepo taarifa ya kwamba alikuwa anamefariki alijibu;’’Mtafuteni ziraili anayetoa roho, labda anajuwa kilichtokea’’. Mwisho wa...
Waziri, Esha Buheti wana dunia yao ya mapenzi dakika moja ikapokelewa, jinsi walivyosalimiana na kutaniana utadhani wana ulimwengu wao. Esha anasikika akisema mume wangu, Wazir naye akajibu shosti yangu; "Nina mwandishi wa...
NIONAVYO: African Football League ni utajiri mkubwa zaidi. Yote kwa yote, mashindano ya AFL ni fursa kwa maendeleo ya mpira wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.Ni mashindano ambayo yanaweza kuubadili mpira wa Afrika kuupeleka upeo wa juu kabisa hasa...
Magori: Simulizi yangu na Zacharia Hans Poppe , nawe uliitikia Muraaah… unasemaje.. Vita umevipiga vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza na imani umeilinda. Pumzika kwa amani, Kaka yangu, Ndugu yangu na Mwana Simba mwenzangu. Tutaonana Mungu...
HISIA ZANGU: Muda ulifika Sure Boy kupanda daladala la kuelekea Jangwani wakijinasibu kwamba Sure Boy ni mtoto wao. Kichekesho kilikuja pia alipocheza dhidi ya Yanga. Katika mechi hizi alihitajika kuwa malaika. Hakupaswa kukosea. Kila ambapo angekosea ingeonekana kama...
PRIME Yanga nguvu yote nyumbani CAFCL Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Medeama juzi, mechi mbili zijazo za nyumbani zimeshikilia kwa kiasi kikubwa ndoto za Yanga kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Yanga, KVZ mechi ya heshima YANGA na KVZ zinarudi uwanjani usiku wa leo kuvaana kwenye mechi ya heshima ya kukamilisha ratiba ya Kundi B kwa timu hizo katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, huku mapema watetezi, Mlandege...
MTU WA MPIRA: Kuna sehemu tulimkosea heshima Robertinho wapi? SIMBA imeondoshwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Imeondoshwa kiume na mabingwa watetezi Wydad Casablanca kwa mikwaju ya penalti. Nani aliamini haya? Hakuna. Baada ya Simba kupata ushindi...