Nabi ampigia simu Fei Toto KIKOSI cha Yanga jana usiku kilishuka uwanjani kutupa karata ya kwanza ya mechi za makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine alilala kisha akaamka na akili...
Musonda: Subirini muone! dili lake kama filamu YANGA juzi usiku ilimtambulisha rasmi mshambuliaji mpya kutoka Zambia, Kennedy Musonda, lakini mwenyewe amefungua dili lake lilivyokuwa, huku akiwaahidi mashabiki wa klabu hiyo kwamba amekuja...
Wametisha, makocha watano waliokaa Simba SIMBA imeachana na Kocha Zoran Maki akiwa amekaa klabuni hapo kwa siku 67 tangu alipoajiriwa rasmi Julai 1 na kufutwa kazi Septemba 6 mwaka huu.
Vigogo Simba wavamia TFF watua na faili zito MAMBO yanaonekana kuwa magumu upande wa viongozi wa Simba baada ya jana mabosi wa klabu hiyo kutinga kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kufanya kikao cha saa 2 ili kumaliza...
Simba yanasa straika mpya KIKOSI cha Simba bado kipo Dubai huku mabosi wa klabu hiyo wameendelea kuimarisha kikosi chao kimya kimya kwa kunasa straika mwingine wa mabao anayeungana na kina Saido Ntibazonkiza na Jean...
Greatlakes Freight & Transport yadhamini waogeleaji kusaka tiketi ya Olimpiki Dar es Salaam. Kampuni ya Greatlakes Freight & Transport imepiga tafu waogeleaji wa Tanzania wanaowania nafasi ya kufuzu mashindano ya Olimpiki yaliyopangwa kufanyika mjini Tokyo, Japan...
MTU WA MPIRA: Yanga inanufaika vipi mauzo ya jezi zake? YANGA imezindua jezi rasmi za mashindano msimu wa 2022/23. Ni msimu wa nne sasa Yanga imekuwa ikifanya hivyo baada ya kuingia mkataba na GSM Sports kwa ajili ya mauzo hayo. Ni wazi katika miaka...
Tunamlaumu nani ubovu wa kanuni za uchaguzi TFF? HAKUNA ubishi, Kanuni za Uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) za awamu hii ni uhuni mtupu, Kanuni zetu za Uchaguzi ni kama mtego wa Panya, aliyeko nje, atabaki nje, aliyeko ndani...
Ratiba Ligi Kuu yaishika pabaya Simba Dar es Salaam. Historia ya kutofanya vizuri katika viwanja vya mikoani katika miaka ya hivi karibuni, inailazimisha Simba kuchanga vyema karata zake katika mechi sita mfululizo zijazo za Ligi Kuu...
Siku tano tu, TFF yavuna Sh10 milioni KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) chini ya Mwenyekiti Wakili Kiamoni Kibamba juzi ilifunga zoezi la uchukuaji na urudishaji fomu kwa kuwania nafasi ndani ya shirikisho hilo...