Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8299 results for Mwandishi Wetu :

  1. Waamuzi walioboronga Simba, Yanga wala umeme

    BAADA ya malalamiko mitandaoni kuhusu waamuzi kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara waamuzi wa mechi za mbili za Yanga, Simba wamepigwa umeme. Mwamuzi wa...

  2. Manara, Bumbuli wapigwa faini

    Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli na msemaji wa klabu hiyo Haji Manara wamepigwa faini ya Sh500,000 kila mmoja na kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania...

  3. Mo Dewji alipa mishahara Simba ili waiue Asec

    RAIS wa heshima wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ juzi aliwamwagia mkwanja wachezaji wa kikosi hicho mchana wa Jumatano alipowatembelea kambini kwao. Bilionea huyo baada ya kikao cha dakika...

  4. Wachezaji Simba waapa

    kubwa ya kuanza Jumapili kama kiungo mkabaji anasema; “Unajua suala la kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu wachezaji wote tulikuwa na hasira na kuambiana huku kwenye Shirikisho...

  5. Krosi za mabao zimerudi Yanga

    KIWANGO cha Yanga dhidi ya Mbeya City kimemkera Kocha Nasreddine Nabi, lakini akasisitiza kwamba baada ya mechi yao na Biashara wana jambo lao. Kocha huyo ambaye tangu juzi amewarejeshea mastaa...

  6. Wazito FC waachilia majembe sita

    Siku moja tu baada ya dirisha Dogo la uhamisho la Ligi Kuu ya FKFPL kufungwa ,Wazito Fc kupitia kurasa zao za kijamii wametangaza rasmi kuondoka kwa wachezaji Sita kwenye timu Hiyo. Timu Hiyo...

  7. KMKM yapoteza mechi ya kwanza

    PEMBA. MABAO mawili yaliyofungwa kila moja katika kipindi yameizamisha KMKM kwa mara ya kwanza katika Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) baada ya jana kuonyolewa na Mafunzo kwenye Uwanja wa Gombani...

  8. Mkataba wa Morrison Yanga kufuru, Simba waitana

    Mkataba wa Morrison ndani ya Simba umesaliwa muda usiozidi miezi mitatu na mabosi wa klabu hiyo wamemsimamisha kwa kudaiwa kutoroka kambini kwa kuruka ukuta, pamoja na kufanya vituko vingine...

  9. Miaka 20 ya utawala wa Wakongo Ligi Kuu

    KUANZIA mwaka 2002 hadi sasa, kumekuwa na utitiri wa wachezaji kutoka DR Congo ambao wamekuwa wakija nchini kuzitumikia timu mbalimbali za Ligi Kuu na hata zile za Ligi Daraja la Kwanza.

  10. Morrison arudi Yanga, apewa mshahara wa Chama

    UNAWEZA ukashangaa na kujiuliza maswali mengi, lakini ndio ukweli.Siku zinahesabika kabla ya Bernard Morrison ‘BM3’ kurejea Jangwani, klabu aliyokuwa akiichezea misimu miwili iliyopita kabla ya...

Previous

Page 767 of 830

Next