Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9085 results for Mwandishi :

  1. Simba yamvutia waya kocha msomi, mechi ya Raja yatajwa

    TAYARI mabosi wa Simba wamemuita aliyewahi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Suleimani Matola mezani kwa ajili ya mazungumzo, huku kukiwa na maswali mengi kuhusu kinachokwenda kujadiliwa. Simba...

  2. Ligi ya Mabingwa Ulaya yaondoa hatua ya makundi

    Chama cha Soka Ulaya (Uefa) kimetangaza mfumo mpya wa mashindano yake yote matatu, huku kikisema kuwa mradi wa kuanzisha Super League sasa umezikwa "kwa angalau miaka 20".

  3. Wapya Simba wabanwa, waarabu wafuatilia mastaa, mmoja Sh930 milioni

    KATIKA kuhakikisha inanufaika na wachezaji Augustine Okrah, Mohamed Ouattara na Moses Phiri ambao imewanasa kwa kutumia kiasi kikubwa cha fedha, Simba imeweka masharti magumu katika mikataba ya...

  4. Stars: Rekodi zipo ili zivunjwe

    LICHA ya rekodi baina ya timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars) na Algeria kuwabeba waarabu bado timu hiyo ina nafasi ya kupindua meza leo Juni 8, saa 1:00 usiku katika mchezo wa pili hatua ya...

  5. MAKALA MAALUM ANGUKO LA TP MAZEMBE: Baada ya kuokoteza wachezaji, Katumbi ashindwa kuiokoa-5

    KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi alivyoikimnia nchi baada ya kuonesha nia ya kugombea urais wa DRC mwaka 2016. Laurent Kabila alipofariki dunia na nafasi...

  6. Simba yaleta fundi mpya

    MABOSI wa Simba waliwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kumsajili na kutambulisha kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza ambaye mechi ya kwanza tu akiwa na timu hiyo alifunga hat trick na...

  7. Siku ya wanawake Simba 1, Yanga 1

    KAMA hujui ni kwamba, leo ni Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka tangu ilipoanza kuadhamishwa mwaka 1975 baada ya Umoja wa Mataifa (UNO) kuridhia ina maajabu makubwa...

  8. Simba, Yanga mwendo wa noti

    SIMBA imeng'olewa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, lakini taarifa njema kwano ni kule kuongezwa mkwanja ikijihakikisha kuvuna Dola 900,000 (zaidi ya Sh 2 Bilioni) baada...

  9. Simba ni pasi mbili bao

    KIKOSI cha Simba leo jioni kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Beach Veteran, Dar es Salaam na kujinoa kwa mazoezi mbalimbali huku zoezi la kupiga pasi mbili na kufunga likionekana kuwa la...

  10. Hawa sio wa kuwakosa katika Tamasha la Sauti za Busara 2022

    Tamasha la Sauti za Busara kwa miongo miwili iliyopita limekuwa na rekodi ya kuvutia ya kuonyesha vipaji vya baadhi ya wanamuziki wa Afrika katika tamasha hilo la kila mwaka ambalo limekuwa...

Previous

Page 759 of 909

Next