Pablo alainishiwa kazi Bara SIMBA juzi ilimalizana nan Asec Mimosas ya Ivory Coast katika mechi ya kwanza ya Kundi D ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, kabla ya kurudi uwanjani wiki hii kucheza na Ruvu Shooting...
Yanga yapeleka jezi ya bahati CAF YANGA juzi ilizindua jezi zake itakazozitumia katika mashindano ya kimataifa lakini uzinduzi huo umekuja na mabadiliko ambayo imeyafanya ikiamini yanaweza kuwa chachu ya kufanya vizuri katika...
Mkataba wa Morrison Yanga kufuru, Simba waitana Mkataba wa Morrison ndani ya Simba umesaliwa muda usiozidi miezi mitatu na mabosi wa klabu hiyo wamemsimamisha kwa kudaiwa kutoroka kambini kwa kuruka ukuta, pamoja na kufanya vituko vingine...
Nabi: Tulieni mpate raha YANGA leo itashuka uwanjani katika mchezo wa Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao, Real Bamako jijini Bamako nchini Mali, huku kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiwataka...
Simba katika njia ngumu ya kusaka taji Afrika Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba, wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi baada ya ushindi wa jumla wa mabao 4-2 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika...
Matano, Ouma wataka VAR Ligi Kuu Kuna vitu vinatokea uwanjani hasaa kwenye soka ,ambavyo vinabadili matokeo ya mchezo na kuathiri matokeo kwa jumla, kwa mfano; Kocha wa wana mvinyo wa Tusker Robert Matano alionekana mwenye...
Makipa wa boli wamechoma nyumba! SOKA la kisasa linahitaji sana makipa wanaojua kutumia vyema miguu kusambaza pasi za upendo, sambamba na kuokoa hatari kwa kutumia mikono, lakini siku ya jana la leo haikuwa njema kwa makipa wa...
Yanga yashusha straika Mrundi YANGA imefanya sapraizi ya dakika za lala salama za usajili wa Tanzania Bara baada ya kumalizana na straika Mrundi, Fiston Abdulrazak. Huo unakuwa usajili wa pili wa Kocha Cedrick Kaze raia wa...
Yanga, Azam ya sura mpya ASILIMIA kubwa ya sura za mechi ya leo ya Yanga na Azam ni mpya tofauti na msimu uliopita. Yanga na Azam mara ya mwisho walikutana Aprili 25 mwaka huu na Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 hadi...
PRIME Inonga aamua kuondoka Simba KWA Kiswahili cha kijiweni wanasema; “Imeisha.” Beki kitasa cha Simba aliyeng’ara na DR Congo kwenye Afcon, amefanya uamuzi wake kimyakimya na akapiga kimya vilevile. Na uamuzi huo unamaanisha...