Phiri aomba wiki mbili za kibabe Msimbazi STRAIKA mpya wa Simba, Mzambia Moses Phiri amewaambia viongozi wa timu hiyo kwamba ; “Nipeni wiki mbili tu.”
Mayele: Ubingwa tayari, bado kiatu tu MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amesema malengo yake kwenye Ligi Kuu Bara yalikuwa mawili kuhakikisha Yanga inachukua taji baada ya kulikosa kwa misimu minne kisha kufikia rekodi yake ya...
Simba yanasa Mnigeria INASEMEKANA mabosi wa Simba wameishakamilisha dili la kiungo wa Coastal Union Mnigeria, Victor Akpan kwa ajili ya kuwatumikia msimu ujao.
Ndemla huyoo anatua Singida KIUNGO wa Simba aliyepo kwa mkopo wa miezi sita Mtibwa Sugar, Said Ndemla muda wowote huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Singida Big Stars (zamani DTB).
Geita Gold FC yatembelea miradi ya GGML sana kuwa wadhamini wakuu wa timu ya Geita Gold Football Club kwa sababu jitihada zao za kupanda katika msimamo wa ligi kuu zimeongeza chachu ya michezo kwa mkoa wetu wa Geita. Timu hii...
ZILITRENDI: Simba, Yanga zakeshea juju Taifa TUNAENDELEA kuwakumbushia stori zilizotrendi miaka ya nyuma na leo, Juni 16 tunarudi hadi mwaka 2001 na kukuta habari inayohusu wanachama wa Simba, Yanga kukesha usiku kucha kwenye Uwanja wa...
Phiri ataja sababu kusaini Simba STRAIKA wa Zanaco, Moses Phiri ameitaja kwa mara nyingine klabu ya Simba akisema ni timu kubwa na hakuna mchezaji anayeweza kuigomea kucheza. Phiri mwisho wa msimu huu amemaliza mkataba wake na...
Kisa mshahara, Simba gumzo Sauzi MWANASPOTI linajua Simba ina majina mawili makubwa ya makocha mezani, mmojawao atatangazwa kabla ya wikiendi ijayo. Lakini Wekundu hao wamekuwa gumzo kubwa kwa sasa kwenye vyombo vya habari vya...
Ligi ya Mabingwa, Shirikisho Afrika kuanza Agosti 12 Mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afika kwa msimu wa 2022/23 yataanza kutimua vumbi Agosti 12, 2022.
Matola apiga mkwara KIKOSI cha Simba juzi kilicheza mechi ya kirafiki na Kituo cha Cambiaso kwa lengo la kunoa makali yao kabla ya kuvaana na Mbeya City, huku kaimu kocha mkuu, Seleman Matola akitamba kwamba licha...