Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Simba yanasa Mnigeria

Simba yakaribia kubeba Mnigeria

INASEMEKANA mabosi wa Simba wameishakamilisha dili la kiungo wa Coastal Union Mnigeria, Victor Akpan kwa ajili ya kuwatumikia msimu ujao.
Rafiki wa karibu wa staa huyo aliiambia Mwanaspoti kuwa, tayari Simba wamemaliza na nyota huyo na sasa ni suala la muda tu kumtambulisha kwa wanamsimbazi hasa baada ya ujio wa kocha mpya anayekuja kuchukua nafasi ya Pablo Franco.

Akpan (24) ambaye alikuwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia CoastalUnion amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wanasimba kwa msimu wa 2022/23.