Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8288 results for Mwandishi Wetu :

  1. Azam balaa zito Misri

    El Gouna, Misri. AZAM FC iko wilaya ya El Gouna mkoani Hurghada nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Tutakuwa tukikuletea kila kinachoendelea na leo tukianza na safari...

  2. Polisi Tanzania yashusha kocha Mrundi

    KLABU ya Polisi Tanzania imefikia makubaliano na kocha, Joslin Sharif Bipfubusa kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho msimu ujao. Joslin (37) raia wa Burundi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na...

  3. Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

    BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi...

  4. VIDEO: Manara aikataa hukumu ya TFF

    Siku kadhaa baada ya Kamati ya Maadili ya TFF kumfungia msemaji wa Yanga, Haji Manara kufungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 2 na faini ya Sh20 milioni kwa kukutwa na hatia ya kumtolea maneno...

  5. TFF yamjibu Manara

    KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais...

  6. ZA NDAANI KABISA: Manzoki Simba hadi Desembaa!

    MASHABIKI wa Simba wanaendelea kuifuatilia timu hiyo ikiwa kambini Misri, huku wakimsikilizia straika mpya Cesar Manzoki, lakini Za Ndaani Kabisa zinasema, jamaa huenda akajiunga na kikosi hicho...

  7. Tunawezesha Taifa

    Mtendaji mkuu wa zamani wa Campbell Soup, Doug Conant aliwahi kusema: “Ili kufanikiwa sokoni, ni lazima kwanza ufanikiwe kazini.” Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) inafanya mageuzi...

  8. MTU WA MPIRA: Manara alipaswa kuwajibishwa kitambo, TFF wamechelewa sana

    HATIMAYE Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka kwa muda wa miaka miwili na faini ya Sh2 milioni. Ilikuwa ni jambo la muda tu kufahamu kama nyakati hizi zitatokea kwa...

  9. Zoran kiboko, aleta mifumo mitatu Simba, kuitest na Yanga

    KAMBI ya Simba imezidi kunoga baada ya beki Mohamed Ouattara aliyetambulishwa juzi kutoka Al Hilal ya Sudan kuanza tizi na wenzake huku akionekana wamoto, lakini utamu ni Kocha Zoran Maki...

  10. Wapya Simba wabanwa, waarabu wafuatilia mastaa, mmoja Sh930 milioni

    yao ya kawaida kiujumla. “Tuna masharti ya aina mbili ambayo wachezaji wetu tunawapa ambayo ni ya kiufundi na kinidhamu. Ya kiufundi kama ni mshambuliaji basi tunamwambia tunahitaji...

Previous

Page 748 of 829

Next