Dah! Mpole kasusa Geita au? ataja Morocco, Sauzi WAKATI Ligi Kuu Bara ikianza kutimua vumbi jana, kinara wa mabao msimu uliopita George Mpole anasema hajui hatma yake ya kucheza Tanzania msimu huu ingawa uongozi wa Geita unasisitiza kwamba ni...
Nabi ana dawa ya Okrah, matajiri Yanga watua kambini kuhakikisha tunatoka salama na ushindi. “Nafurahi kuona morali ya wachezaji ipo juu sana na wanapambana sana mazoezini, kila mchezaji anajua ni jinsi gani tuliwapunguzia furaha mashabiki...
Zoran awatuliza mashabiki Simba kugeukia Ligi Kuu na ile ya CAF watakapokiwasha na Nyanza Bullets ya Malawi. “Najua ni mechi ngumu, lakini kwa maandalizi tuliyoyafanya tangu tukiwa Misri na hata ya hapa Dar es Salaam na hasa...
Yanga yanukia CAF Super League MASHABIKI wa Yanga waliingiwa na ubaridi baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba watani zao, Simba ndio timu pekee itakayoshiriki michuano mipya ya CAF Super League, lakini kwa sasa hawapaswi kuwa na...
Wajue wapinzani wa Simba, Yanga kimataifa DROO ya raundi ya kwanza na pili ya mashindano ya Klabu Afrika msimu wa 2022/2023 imepangwa juzi huko Cairo, Misri ambapo timu zitakazoiwakilisha Tanzania zimeshafahamu wapinzani wake. Ukiondoa...
Zoran atetea mastaa wake Baada ya tamasha la Simba Day juzi Jumatatu, kocha Zoran Maki amesema wachezaji walicheza kwa presha ya juu na kushindwa kufanya alichowaelekeza. Maki ameliambia Mwanaspoti mastaa wake...
Barbara: Tukutane Jumamosi Baada ya mechi dhidi ya St George ya Ethiopia katika Simba Day Jumatatu, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez alifurahishwa na umati uliojitokeza kukiona kikosi huku akiwaambia anadhani...
Okwa: Bado Yanga KIUNGO mpya wa Simba, Nelson Okwa amewaambia Yanga, “bado nyie.” Staa huyo ametuma salamu kwa watani zao akisema kile alichoonyesha kwenye kilele cha tamasha la Simba Day juzi Jumatatu ni mfano...
Simba yaomba radhi Klabu ya Simba inaomba radhi kwa waumini wa dini ya Kikristo, viongozi wa madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na jamii kwa ujumla kwa usumbufu uliojitokeza...
Viwanja vitano vyapigwa 'stop' Ligi Kuu Vilevile viwanja ambavyo viko kwenye marekebisho ni Majaliwa (Ruangwa, Lindi), Sokoine (Mbeya), na Kaitaba (Bukoba).