Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8282 results for Mwandishi Wetu :

  1. Azam FC na mkakati wa Remontada

    REMONTADA ni neno lenye asili ya kihispaniola lenye maana ya kupindua matokeo. Neno hili lilianza kupata umaarufu mwaka 2017 lilipotumiwa na FC Barcelona kuelekea mchezo wa mkondo wa pili wa...

  2. Phiri, Mayele mbona kazi ipo

    WAKATI makocha wa Simba na Yanga wakikuna vichwa juu ya mechi za marudiano za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitakazopigwa wikiendi hii, nyota wa timu hizo Moses Phiri na Fiston...

  3. Kipanga kuifuata Africain Tunisia kesho

    WAWAKILISHI kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutoka visiwani Zanzibar, Kipanga FC kitawafuata wapinzani wao Club Africain ya Tunisia kesho Alhamisi huku Kocha Mkuu, Hassan...

  4. Hersi: Nabi bado yupo sana Yanga

    . "Kocha Nabi hajapewa mechi moja wala mbili, bado ni mwalimu wetu, hatufanyi kazi kwa mihemko ya watu, yuko pale kama kocha wetu mkuu na ameijenga timu yetu,"amesema Hersi.

  5. Mbeya City yaingia kimataifa

    Mara baada ya pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2022-23 (TPL) pamoja na Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kufunguliwa siku za hivi karibuni, Klabu ya Mbeya City, Chelsea, Aston Villa...

  6. ZA NDAANI KABISA: Waamuzi sasa wanafungiwa kimya kimya

    HIVI karibuni kumekuwepo na taarifa ya kufungiwa kwa waamuzi wawili Amina Kyando na Ahmed Arajiga kwa kipindi cha miezi sita ingawa taarifa zao hazijangazwa kama ilivyo kawaida. Habari za ndani...

  7. Ni kubadilishana kijiti kama mbio fupi za mapenzi

    Wasanii kama wanavyotajwa ni kioo cha jamii, watu wengi hupenda kufuatilia maisha na mambo yao, yakiwamo ya mahusiano.

  8. Mwakinyo aporomoka Afrika, kumaliza kifungo Oktoba 18

    Wakati Bodi ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Nchini Uingereza (BBBC) ikitaja Oktoba 18 itakuwa siku mwisho ya kifungo cha Hassan Mwakinyo kutocheza ngumi nchini humo, bondia huyo namba moja nchini...

  9. Nyie msiidharau Yanga imepambana

    Wakati mashabiki wa Yanga wakiumizwa na matokeo ya sare nyumbani dhidi ya Al Hilal ya Sudan,takwimu zinaonyesha ni timu Moja pekee iliyoshinda kwake katika mechi katika mechi nne za jana. Al...

  10. Eymael ashinda kesi, Yanga kumlipa Sh354 milioni

    Taarifa ya FIFA ilieleza Yanga imepewa siku 45 kuzilipa fedha hizo na wasipofanya ndani ya muda huo watafungiwa kusajili kwenye madirisha matatu.

Previous

Page 739 of 829

Next