Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8281 results for Mwandishi Wetu :

  1. Mtihani, waamuzi Bongo pasua kichwa - 1

    lakini wana sifa sawa na yule wa Ligi Kuu,” anasema mkufunzi huyo mwandamizi ambaye anafafanua pia juu ya maswali ya wadau wengi kutaka kujua kuna tofauti ya mafunzo baina ya waamuzi wa kati na...

  2. CAF yagomea namba ya Saido

    rekodi zangu nje ya Tanzania imenifanyia makubwa.” Saido ambaye amesajiliwa na Simba dirisha hili la usajili tayari ameonyesha umuhimu wake ndani ya timu hiyo, akifunga mabao matatu na asisti moja...

  3. Mayele afuata tuzo yake Congo

    MSHAMBULIAJI kinara wa Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele ameifuata tuzo yake DR Congo ambayo inatarajiwa kutolewa Januari 7 mwaka huu. Mayele ameondoka jioni hii kuelekea nchini kwao ambapo safari...

  4. Yanga yambeba Mudathir, yaipiga bao Simba

    Yanga imeanza usajili wa dirisha dogo kibabe baada ya kumtangaza kiungo mkabaji Mudathir Yahaya. Mudathir ambaye ni kiungo wa zamani wa Azam amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga...

  5. Morrison ashtua Yanga

    WAKATI Yanga ikijiandaa kuvuka maji kwenda Zanzibar kushiriki fainali za Kombe la Mapinduzi, Winga wake Mghana, Bernard Morrison yupo nchini kwao akiendelea na shughuli zake binafsi za kijamii...

  6. Hapa Mapinduzi kuna vita nzito

    MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi 2023 inatarajiwa kufunguliwa rasmi leo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, kabla ya timu 12 kuanza kupepetana hadi Januari 13 na...

    New Content Item (1)
  7. Mtibwa yaitangulia Yanga

    MTIBWA Sugar ndiyo ilikuwa ya kwanza kuingia kwenye uwanja wa Manungu wakiingia saa 14:08 huku Yanga wakiingia saa 14:24 mchana.

  8. Mashabiki Yanga wabishi

    MASHABIKI waliokuja kushuhudia mechi kati ya Mtibwa Sugar na Yanga walianza kufika kwenye uwanja wa Manungu kwa kusuasua baada ya mageti kufunguliwa saa 4:00 asubuhi.

  9. Kaburu aiburuza Simba TFF

    ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika uchaguzi mkuu wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, aliyekatwa jina lake ameliamsha baada ya kuiburuza Kamati ya Uchaguzi wa klabu hiyo kwa Shirikisho...

  10. Tukutane palepale, nikuonyeshe kazi

    VINARA wa Ligi Kuu Yanga jioni ya leo Jumamosi watakuwa ugenini kuikabili Mtibwa Sugar katika mechi ya kufunga mwaka 2022 kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani, huku ikiwakosa baadhi ya nyota wake.

Previous

Page 731 of 829

Next