Faili la Yanga latua Simba MASHABIKI wa Yanga wanatamba mtaani kutokana na timu hiyo kuongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti na pointi nane, lakini wakiamini watani wao wa jadi Simba watawapa taji kwa msimu wa pili mfululizo...
Gofu wanawake wapata viongozi wapya, Queen ashinda Urais Dar es Salaam. Mmoja wa wachezaji gofu maarufu wa kike, Queen Siraki ameibuka mshindi wa kiti cha Urais wa Chama cha mchezo wa gofu cha wanawake nchini (TLGU) katika uchaguzi uliofanyika Jumamosi...
Wadau wakubali... Simba, Yanga ni bab'kubwa! kwa timu zetu za taifa kwa sababu hata wachezaji wengi wanaofanya vizuri ni wa nje kuliko wa hapa kwetu." FURSA KWA WAZAWA Mwandishi Mwandamizi na mchambuzi wa soka wa gazeti hili...
Nabi afuata dawa ya Mazembe KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi ametimka nchini kwenda Ulaya, huku akitoa salamu ambazo hazitakuwa njema jijini Lubumbashi, DR Congo, akisema hesabu zake sasa ni kumaliza na ushindi katika mechi...
Christopher Mwahangila: 'Tulimiss' matamasha ya Pasaka Mkali wa wimbo wa 'Yesu yuko Hapa', Christopher Mwahangila, amesema walimiss tamasha la Pasaka huku akiahidi kuwapa watu burudani ya kutosha siku hiyo. Mwahangila ameyasema hayo leo Alhamisi...
Tutatoboa hamtaamini HISTORIA ya soka imeandikwa nchini baada ya timu mbili kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shrikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa. Timu ya Yanga, juzi Jumapili ilitinga hatua ya robo fainali...
Ibenge atajwa Azam WAKATI Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal...
Diarra aizidi ujanja Caf YANGA itawakosa Djigui Diarra, Khalid Aucho na Djuma Shaban katika mechi ya mwisho dhidi ya TP Mazembe ambayo wanahitajika kupata ushindi ili wajihakikishie kumaliza kileleni mwa msimamo wa ligi...
Fei Toto: Tunawaahidi ushindi, Watanzania watuombee dua Kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' baada ya kutua nchini Misri amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu maandalizi ya mechi dhidi ya Uganda kufuzu Afcon 2023. Fei Toto akihojiwa na kituo cha...
Robertinho: Kwa Simba hii, aje yeyote! MASHABIKI wa Simba wanaendelea kufurahia burudani waliyoipata kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati timu hiyo ikiinyoosha Horoya AC ya Guinea kwa mabao 7-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa...