Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8269 results for Mwandishi Wetu :

  1. Simba, Yanga mwendo wa noti

    SIMBA imeng'olewa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, lakini taarifa njema kwano ni kule kuongezwa mkwanja ikijihakikisha kuvuna Dola 900,000 (zaidi ya Sh 2 Bilioni) baada...

  2. Singida BS vs Yanga mwisho wa ubishi

    KIPORO cha mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) 2022-2023 kitaliwa leo kwenye Uwanja wa Liti (zamani Namfua), uliopo mjini Singida. Kiporo hicho...

  3. China yaipongeza Yanga

    YANGA imeendelea kupokea salamu za pongezi ambapo China nayo imetoa pongezi zake kufuatia timu hiyo kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

  4. Rais Samia aongeza dau Yanga Sh20 milioni, ila...

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh20 milioni kwa kila bao la ushindi kwa timu ya Yanga ambayo imetinga fainali za kombe la Shirikisho jana Jumatano Mei 18, 2023. Katika hatua ya nusu...

  5. Winga Geita anukia Simba

    SIMBA imeanza harakati za kuimarisha kikosi chake na miongoni mwa nyota wanaotajwa kuwa katika mpango wa kuwanasa ni winga wa Geita Gold, Edmund John. Habari za uhakika ambazo Mwanaspoti...

  6. Eti Ntibazonkiza mzee…

    siyo jambo gumu anafahamu zaidi kuhusu nini anatakiwa kufanya kwa wakati gani, lakini tazama hata uwanjani huwezi kumuona akiwa na nidhamu mbovu. “Unaweza kuhesabu amepewa kadi mara ngapi? Ni kati...

  7. Musonda ataka bao la mapema

    BAADA ya kutwaa taji lake la kwanza akiwa na Yanga mshambuliaji Kennedy Musonda amefunguka kuwa ametua timu bora yenye uchu wa mataji anajiona akitwaa taji la Afrika na kuandika rekodi mpya.

  8. Marumo Gallants wagomea mazoezi kisa bonasi

    Wachezaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini wamegoma kufanya mazoezi mchana huu kwa sababu hawajapata bonasi waliyoahidiwa. Timu hiyo kesho itaikaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng...

  9. Yanga kushusha kifaa Afrika Kusini

    Rais wa Yanga, Hersi Said amesema wanafuatilia kama mchezaji nyota wa Kaizer Chiefs, Khama Billiat (32) ataongeza mkataba klabuni hapo kwakuwa ni miongoni mwa wachezaji walio kwenye rada...

  10. Simba mwendo wa shoo tu, Sakho aibua vita mpya

    SIMBA imekubali yaishe kwa kushindwa kutwaa ubingwa wa michuano yoyote kwa msimu huu, baada ya juzi Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu Bara, baada ya awali kunyakua Ngao ya Jamii ikiizima Wekundu hao...

Previous

Page 709 of 827

Next