DABI YA KARIAKOO: Hoja mpya za wazee Yanga KAMA unadhani Yanga wanatania juu ya tishio lao la kuigomea Dabi ya Kariakoo iliyopangwa Juni 15 basi utakuwa umekosea, baada ya wanachama wa matawi wakiongozwa na wazee wa klabu hiyo kutoa...
Yametimia huko! Sesko atua rasmi Man United STRAIKA, Benjamin Sesko ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Manchester United baada ya miamba hiyo ya Old Trafford kushinda vita ya kunasa saini yake dhidi ya Newcastle United.
Uganda, Niger kazi ipo Kampala UHONDO wa fainali za Ubingwa wa Nchi za Afrika (CHAN) 2024 unaendelea leo Jumatatu kwa mechi mbili za Kundi C zitakazopigwa jijini Kampala, mapema saa 11:00 jioni Afrika Kusini itajiuliza mbele...
Man United kunafukuta! Amorim achokwa RUBEN Amorim amewatibua mashabiki wa Manchester United na hivyo wanataka mabosi wa timu hiyo kumfuta kazi baada ya aibu ya kutupwa nje kwenye Kombe la Ligi na timu ndogo ya Grimsby.
Ukiukaji wa usalama wa uwanja unaumiza kichwa waandaaji CHAN 2024, KENYA Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeitaka Kenya kuchukua hatua zinazoonekanakushughulikia ukiukaji wa usalama wa uwanja unaofanywa na mashabiki wakati wa mechi za Harambee Stars kwenye...
Man City yaingilia dili la Simons kwenda Chelsea MANCHESTER City inadaiwa kuingilia kati dili la Chelsea la kumsajili winga wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Uholanzi, Xavi Simons, 22.
PRIME Mzize awakosha Wafaransa Yanga TAARIFA njema kwa mashabiki wa Yanga kuanzia juzi ni uhakika wa mshambuliaji wa timu hiyo, Clement Mzize kusalia ndani ya kikosi hicho, lakini makocha wawili wa Kifaransa wamefungukia hatua...
Liverpool yapanda dau kwa Alexander Isak, mambo yako hivi LIVERPOOL inajiandaa kutoa ofa ya Pauni 130 milioni kwenda Newcastle United kwa ajili ya kumsajili straika wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Sweden Alexander Isak, 25, katika dirisha hili.
Matajiri Saudi Arabia wanamtaka Andre Onana MANCHESTER United iko tayari kumruhusu kipa wake wa kimataifa wa Cameroon, Andre Onana, 29, kujiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia katika dirisha hili la majira ya kiangazi.
Vikosi vitakavyotoana jasho mechi za kwanza Ligi Kuu England KIPUTE cha Ligi Kuu England kinarudi tena leo Ijumaa na macho na masikio ya wengi yatakuwa huko Anfield, ambako kutakuwa na mechi ya kibabe kati ya wenyeji Liverpool, ambao ni mabingwa watetezi...