Geita Gold FC yapata basi jipya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imemaliza tatizo la usafiri kwa timu ya Geita Gold FC, baada ya kuwanunulia basi jipya. Basi hilo limewasili jana Alhamisi mjini Geita baada GGML...
Droo ipo freshi, tutawaonyesha DROO ya Ligi ya Mabingwa Afrika imefanyika jioni hii kwa Yanga kutupwa Kundi D sambamba watetezi Al Ahly ya Misri, CR Belouizdad ya Algeria na Medeama, huku watani wao, Simba wakipangwa Kundi B...
Makipa wa boli wamechoma nyumba! SOKA la kisasa linahitaji sana makipa wanaojua kutumia vyema miguu kusambaza pasi za upendo, sambamba na kuokoa hatari kwa kutumia mikono, lakini siku ya jana la leo haikuwa njema kwa makipa wa...
Singida yaizima Mtibwa ugenini BAO pekee lililowekwa na straika Mkenya, Elvis Rupia dakika ya 44 lilitosha kuipa Singida Big Stars ushindi wa kwanza kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu, ikiizima Mtibwa Sugar iliyokuwa...
Azam FC yalia na waamuzi Kocha mkuu wa Azam FC, Bruno Ferry amewataka waamuzi kuongeza umakini ili kutenda haki kwa timu zote. Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union...
Huyu hapa nguli wa gofu Bongo ALIANZA kucheza kabla ya Uhuru wa Tanganyika (sasa Tanzania Bara), hadi sasa bado anacheza japo si kwa kasi ile ile. Enzi zake, ingekuwa ni kwenye soka, tungemfananisha na nyota kama Sunday...
Kwani mlitakaje? YANGA jana ilionja kipigo cha kwanza kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kufungwa mabao 2-1 na Ihefu kwenye mechi kali iliyopigwa Uwanja wa Highland Estate, jijini Mbeya, huku mashabiki wa timu hiyo...
Wizara ya Malisili na Utalii tishio Shimiwi, yang'ara kwenye riadha Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi namba moja kwenye mbio za mita 3,000 na 800 na kutinga fainali kwenye mbio za mita 400 huku ikiingia nusu fainali kwenye mbio za mita 200 katika...
PRIME Mavitu yote Yanga fundi ni huyu MASHABIKI wa Yanga mpaka sasa hawamdai kitu kocha wao Miguel Gamondi, akifanikiwa kuibadilisha timu hiyo ikicheza kwa ubora mkubwa. Lakini Gamondi kwenye mdomo wake amempa sifa Kocha wa viungo...
Hawa jamaa watamu kinoma HAKUNA siri, kuna wakati usajili unaofanywa na baadhi ya timu unatia mashaka. Fikiria tu usajili kama uliofanywa msimu uliopita na Simba na Yanga kwa wachezaji kama Ismael Sawadogo, Victor Akpan,...