Mgunda: Tunarudi kibabe sana BAADA ya mapumziko ya siku mbili kikosi cha Simba jana kilirejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City huku Kocha mkuu wake, Juma Mgunda akisisitiza kuendelea walipoishia...
PRIME Vigogo Simba wajifungia siku mbili, ubishi waibuka SIMBA wamejifungia kwenye hoteli moja ya jiji la Dar es Salaam kwa siku mbili, huku ubishani ukiwa mkubwa kuhusu mambo mawili. Simba haijafanikiwa kutwaa ubingwa wowote msimu huu, lakini pia...
Mgunda: Itakuwa zaidi ya vita KOCHA Juma Mgunda amekiri haikuwa rahisi kuifunga Coastal Union na kuing’oa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho (ASFC) kutokana na aina ya soka inalocheza na upinzani mkubwa uliopo, lakini...
PRIME Mtibwa v Geita Gold Bonge la fainali U-20 Dar es Salaam.Ligi Kuu ya Vijana U-20 inafikia tamati leo kwa kupigwa bonge la fainali inayozikutanisha Geita Gold na watetezi Mtibwa Sugar zilizopenya hatua hiyo baada ya kushinda mechi za mechi...
Yanga yamfuata mwarabu kishua MECHI sita za hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, zinaipa uhakika Yanga kuvuna Sh 2.1 bilioni, lakini jambo la kufurahisha zaidi ni namna fedha hizo zinavyowapa jeuri vijana wa...
Zoran kiboko, aleta mifumo mitatu Simba, kuitest na Yanga KAMBI ya Simba imezidi kunoga baada ya beki Mohamed Ouattara aliyetambulishwa juzi kutoka Al Hilal ya Sudan kuanza tizi na wenzake huku akionekana wamoto, lakini utamu ni Kocha Zoran Maki...
Robertinho kaondoka, Mgunda aachiwa kazi KIKOSI cha Simba kinarejea kwenye matizi leo lakini Kocha Mbrazili, Roberto Oliveira Robertinho jana usiku aliondoka nchini kwenda kwao. Hiyo ni muda mfupi baada ya kukiongoza kikosi chake...
Kiungo Horoya aihofia Simba, yapewa mbinu Dar es Salaam. Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba inatupa karata yake ya kwanza kwenye hatua ya makundi, wakati itakapokabiliana na Horoya ya Guinea, kwenye Uwanja wa...
Timu ya Nyumbu yapiga mbili za kirafiki, yatoka 1-1 na Mashujaa Dar es Salaam. Timu ya soka ya Nyumbu ya mkoani Pwani inayojiandaa na Ligi Daraja la Pili imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa...
Huko Yanga kumekucha HUKO Yanga kumekucha. Kocha wa Yanga, Cedrick Kaze jana amefanya mazoezi kwa siku ya pili na kikosi chake wakirejea kutoka mapumziko huku akisisitiza vijana wake wako vizuri. Kaze juzi Jumatatu...