Uganda yatakata CECAFA ikiiichapa Djbouti mabao 15-0 Rasmi mashindano ya Kombe la CECAFA kwa vijana wa umri chini ya miaka 15 yameanzan kutimua vumbi leo Uwanja wa FUFA Technical Centre, Uganda. Michezo miwili ya ufunguzi imechezwa leo ni kati ya...
Tambo zaanza Kariakoo Derby Wakati mashabiki wakihesabu saa kuona nani ataondoka na pointi tatu keshi kwenye dabi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, mashabiki wa timu hizo wametambiana kila upande ukijinasibu...
Kila mtoto kulipa kiingilio Kwa Mkapa, usiingie na silaha uwanjani BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imewataka mashabiki wanaopenda kwenda uwanjani na watoto wao kushuhudia Dabi ya Karikaoo wawakatie tiketi ili wapate nafasi ya kukaa.
Washindi Nane wa kampeni ya Tembocard kushuhudia AFCON 2023 Dar es Salaam. Benki ya CRDB imezindua kampeni ya Tisha na Tembocard Tutakiwashe Afcon ambapo jumla ya washindi nane watahudhuria fainali hizo zilizopangwa kuanza Januari 13 mpaka February 11...
PRIME Mashabiki wamtaja Ki, Nzengeli dabi Wakati tambo za watani wa jadi, Simba na Yanga zikihitimishwa leo baada ya dakika 90, maproo wa Yanga Maxi Nzengeli na Aziz Ki wameonekana kuwa tishio kwa Simba. Mashabiki wanazi wa Simba ambao...
Afungiwa mechi 10 kwa kumshika mwamuzi sehemu za siri Mchezaji Gilbert Boniface wa timu ya Cosmopolitan inayoshiriki Ligi ya Championship amefungiwa mechi 10 na faini Sh500,000 kwa kosa la kumshika mwamuzi sehemu za siri kwenye mechi dhidi ya...
KMKM yaua, hat-trick ya pili yafungwa Zenji LIGI Kuu Zanzibar (ZPL) imezidi kunoga baada ya watetezi wa ligi hiyo KMKM jana jioni kuifyatua New City kwa mabao 5-0, huku nyota wake, Ibrahim Isakah akifunga hat trick ikiwa ni ya pili kwa...
CAF yataja sababu Stars kuwania tuzo Afrika ACHANA na rekodi za nyuma. CAF wametaja klabu 10 kubwa kwa sasa zinazowania tuzo ya klabu bora ya mwaka 2023 Afrika. Tanzania imeingia Yanga ya Kocha Miguel Gamondi tu. Shirikisho la Soka...
Simba mastraika, Yanga viungo 'Derby' Idara ya kiungo ya Yanga ndio imekuwa tegemeo katika kuipatia mabao timu hiyo kwenye Ligi Kuu hadi sasa kama ilivyo kwa ile ya ushambuliaji ya Simba katika mechi ambazo kila timu imeshacheza hadi...
Macho yote ni Twiga Stars leo Botswana KOCHA Mkuu wa Twiga Stars, Bakar Shime amesema wachezaji wa timu hiyo wako vizuri kuwakabili Botswana kwenye mchezo wa marudiano kufuzu michuano ya Olimpiki mwakani nchini Ufaransa. Mchezo wa...