Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Uganda yatakata CECAFA ikiiichapa Djbouti mabao 15-0

Rasmi mashindano ya Kombe la CECAFA kwa vijana wa umri chini ya miaka 15 yameanzan kutimua vumbi leo Uwanja wa FUFA Technical Centre, Uganda.


Michezo miwili ya ufunguzi imechezwa leo ni kati ya Ethiopia dhdi ya Afrika Kusini ulioanza saa 6:30 mchana na kumalizika kwa sare ya 1-1 huku mchezo wa pili uliowakutanisha wenyeji wa mashaindano Uganda dhidi ya Djibouti.

Uganda iliichapa Djbouti mabao 15-0 nakupata hat-trick ikiwa na mechi ya kwanza kundi A iliyoanza saa 9:30 Alasiri  

Kesho Novemba 5, 2023 timu ya taifa ya Zanzibar "Karume Boys" ikiongozwa na kocha Muhammed Mrishona 'Xavi' itashuka dimbani kuivaa timu ya taifa ya Rwanda U15 saa 6:30 mchana huku timu ya taifa ya Tanzania itavaana Somalia saa 9:30 Alasiri.