Tambo zaanza Kariakoo Derby Wakati mashabiki wakihesabu saa kuona nani ataondoka na pointi tatu keshi kwenye dabi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, mashabiki wa timu hizo wametambiana kila upande ukijinasibu...
PRIME Mashabiki wamtaja Ki, Nzengeli dabi Wakati tambo za watani wa jadi, Simba na Yanga zikihitimishwa leo baada ya dakika 90, maproo wa Yanga Maxi Nzengeli na Aziz Ki wameonekana kuwa tishio kwa Simba. Mashabiki wanazi wa Simba ambao...
Simba haitanii, yamganda mkali wa miasisti, yaulizia mkataba SIMBA inaendelea kupiga hesabu za kusuka kikosi kimyakimya na kufanya mambo mapema na sasa mabosi wa klabu hiyo wameonyesha hawatanii kwa kumganda kiungo fundi mmoja wa Geita Gold wakiulizia...
Wizara ya Malisili na Utalii tishio Shimiwi, yang'ara kwenye riadha Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi namba moja kwenye mbio za mita 3,000 na 800 na kutinga fainali kwenye mbio za mita 400 huku ikiingia nusu fainali kwenye mbio za mita 200 katika...
DStv yaja na ofa kabambe msimu huu wa sikukuu Dar es Salaam. Kampuni ya DStv imezindua msimu wa sikukuu ambapo mteja akayelipia kifurushi chake atapandishwa na kuunganishiwa kifurushi cha juu yake kwa mwezi mzima bila malipo ya...
Ihefu yaivimbia Yanga WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikieleka ukingoni timu ya Ihefu FC imeitangazia vita timu ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuchezwa Julai 15 katika uwanja wa Mkapa...
Yanga yafunika tuzo za msimu 2022/23 Timu ya Yanga imefunika kwenye tuzo za msimu wa 2022/23 zilizotolewa leo kwenye ukumbi wa kituo cha soka cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jijini Tanga. Yanga imepata jumla ya tuzo 12...
PRIME Yanga yamshusha mrithi wa Mayele Dar MASHABIKI wa Yanga wanadai kitu pekee ambacho kimesalia kwenye kikosi cha ni kusajiliwa kwa mshambuliaji anayejua kufunga na hilo nalo limeisha baada ya mabosi wao kumshusha kimyakimya...
Mayele augomea mshahara Sh34 milioni Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kwamba Mayele ameugomea mshahara wa zaidi ya Sh34 Milioni alizoahidiwa kulipwa ilimradi abakie klabu hapo. Nyota huyo aliyemaliza msimu uliopita kama...
Simba Queens wanawasha MECHI ya kwanza ilikuwa ni ya kusoma mashindano lakini Simba Queens wametamba kwamba leo ndio wanaanza mashindano. Juzi walifungwa bao 1-0 na FAR Rabat ya Morocco huku wakikiwasha na Determine...