Dakika 90 kuamua usajili Simba, Yanga USAJILI wa dirisha dogo ni kama umezitega Simba na Yanga, kwani unazilazimisha kushinda michezo yao inayofuata ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba na Yanga kwa mara ya kwanza zipo kwenye...
Ihefu yaachana na kocha Basena Ihefu FC yenye maskani yake Mbarali mkoani Mbeya imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha Mganda, Moses Basena. Basena amedumu katika kikosi hicho kwa siku 50 tangu alipotambulishwa...
Fei Toto awazidi Maxi, Kipre Jr Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu mwezi Novemba. Fei Toto amewashinda wachezaji Kipre Junior wa Azam na Maxi Nzengeli wa Yanga ambapo katika...
Hesabu ya pointi Simba, Yanga CAF HALI imechafuka. Dakika 180 za Simba na Yanga kwenye mechi za hatua ya makundi, zimetoa picha tofauti na iliyokuwa ikidhaniwa awali. Hivyo,kimahesabu ni kwamba watahitaji pointi 10 ili kuwa salama.
Rayvanny afanya kweli . Akizungumzia kampeni hiyo, Naseem Allan ambaye ni mratibu alisema inatoa nafasi kwa kila Mtanzania kucheza. "Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka na hata mwakani mambo yatakuwa ni...
PRIME CEO Mtibwa Sugar akalia kuti kavu KICHAPO cha mabao 2-1 ilichopata Mtibwa Sugar kutoka kwa Tabora United umeufanya uongozi wa klabu hiyo ya Manungu wakianza kunyoosheana vidole huku wakimtaka Ofisa Mtendaji Mkuu, Swabri Aboubakar...
MCL ilivyoshiriki tuzo ya Mwajiri bora wa Mwaka 2023 Tuzo ya ukuzaji na vipaji ni miongoni mwa tuzo 14 zilitolewa katika hafla ya kuwatambua washindi wa tuzo ya Mwajiri bora wa mwaka (EYA) zilizotolewa leo Desemba 4 jijini Dar es Salaam. Katika...
Bodaboda asepa na Sh51 milioni Mkazi wa Kimara Peter Patric ameibuka kidedea akijishindia kiasi cha sh 51.1 milioni kupitia michezo ya kubashiri. Patric ambaye ni dereva wa pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda amejishindia...
Benchikha aitaka fainali CAF HUKO Simba kumekucha. Wameondoka leo kwenda Botswana kwa majukumu ya kimataifa, lakini kocha ametikisa kwelikweli huko kambini juzi jioni. Kocha mpya, Abdelhak Benchikha alipokutana na wachezaji...
Bacca: Sasa ndio tutaelewana vizuri BACCA amejifunga Yanga. Mkataba mpya wa staa huyo ambaye jina lake halisi ni Ibrahim Hamad ‘Bacca’ unakoma mwaka 2027. Amewaambia mashabiki kwamba wajiandae kuona ubora zaidi kutoka kwake...