Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Fei Toto awazidi Maxi, Kipre Jr

Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu mwezi Novemba.

Fei Toto amewashinda wachezaji Kipre Junior wa Azam na Maxi Nzengeli wa Yanga ambapo katika mwezi husika alifunga mabao mawili na kuhusika katika mabao mengine manne kwenye mechi tatu.

Azam pia imeng'ara kwa kutoa kocha bora wa mwezi, Bruno Ferry baada ya kushinda mechi zote tatu akianza na Mashujaa mabao 3-0, Ihefu 3-1 na Mtibwa Sugar mabao 5-0