Barca yaanza mazungumzo ya kumsajili Julian Alvarez BARCELONA imeanza mawasiliano na Atletico Madrid ili kujua msimamo wao kuhusu uwezekano wa kuwauzia mshambuliaji wao wa kimataifa wa Argentina, Julian Alvarez, 26, katika dirisha lijalo la...
Alexander-Walker aanza mambo, abeba tuzo ya kwanza NBA 2026 NYOTA wa Atlanta Hawks, Nickeil Alexander-Walker, ameandika historia mpya baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji aliyeboreshwa zaidi (Most Improved Player – MIP) katika msimu wa NBA...
Wakala ampeleka Silva Madrid JORGE Mendes, wakala wa kiungo Bernardo Silva ameripotiwa kupiga simu Real Madrid na kuwaambia kuwa staa huyo wa Manchester City mwenye umri wa miaka 31, angependa kujiunga na timu hiyo katika...
Maumivu ya dakika ya 86 timu tatu Afrika KATIKA matukio yaliyotikisa mashabiki wa soka duniani, timu tatu za Afrika zimeondolewa kwa maumivu makubwa katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuruhusu mabao ya ushindi...
Mbappé aifukuzia rekodi ya Messi Kombe la Dunia 2026 UFARANSA imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026, baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Paraguay katika mchezo wa hatua ya 16 Bora uliopigwa kwenye Uwanja wa...
Wezi wakurupushwa nyumbani kwa Yamal NYUMBA ya kifahari ya nyota wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Lamine Yamal, iliyopo jijini Barcelona, imevamiwa na watu waliodhaniwa kuwa wezi saa chache tu baada ya mchezaji huyo...
Man United ‘kupindua meza’ kwa Ederson Manchester United wako katika mazungumzo ya hatua za mwisho kumsajili kiungo wa Brazil wa Atalanta BC, Ederson, kuwa usajili wao wa kwanza wa majira ya joto.
Maguire atolewa kwa Inter, yenyewe inamtaka Solet Beki wa Manchester United, Harry Maguire, ameibuka katika rada za Inter Milan dirisha la usajili la majira ya kiangazi, ingawa pia kipaumbele kikubwa kwa miamba hiyo ya Italia ni Oumar Solet...
Nusu fainali AFCON U-17 utamu upo hapa MECHI za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 (AFCON U-17), zinaendelea kuchezwa nchini Morocco ambapo vijana wa Tanzania, Serengeti Boys wamefuzu kwa...