Mtoano Uefa...waache wauane Mwisho wa maneno maneno umefika. Ndicho unachoweza kusema baada ya droo ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ya 16 bora kupangwa, huku Arsenal ikipewa bingwa wa zamani wa michuano hiyo.
PRIME Pacome anajua, halafu anajua tena! WAKATI anatambulishwa kwa mashabiki, kuna watu walimchukulia poa. Unajua kwa nini? Hakuwa na rekodi tamu za kusisimua, zaidi ya kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Ivory Coast. Na hii...
Yanga ruksa kusajili Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kumlipa mchezaji Gael Bigirimana. Bigiramana alikuwa mchezaji wa Yanga...
Kipigo cha refa chaiamsha TFF Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeonya kuwa litatoa adhabu kali kwa mdau au mchezaji wa soka atakayethubutu kufanya tukio la kumpiga mwamuzi kama lililotokea Uturuki...
PRIME Sowah akubali kusaini Yanga, awapa sharti moja WAKATI mastaa wa zamani wa Yanga wakiwataka mabosi wao kuvamia Ghana kwa mshambuliaji Jonathan Sowah fasta na kumsajili, mwenyewe amefungukia kila kitu kuhusu mabingwa hao wa Bara. Sowah ambaye...
Pombe ilivyokatisha maisha ya Zahara Hata hivyo, akiwa na miaka 36 tu, supastaa huyo wa muziki wa Pop Afrika Kusini, Zahara ameaga dunia wakati madaktari wakipambana kujaribu kuokoa maisha yake.
PRIME Yanga sasa ni master Manu Labota, Moloko ndiyo hivyo MWANASPOTI linajua kwamba Yanga kwenye dirisha dogo hili la usajili wanamleta winga mpya mwenye makali na hesabu zao ziko kwa Manu Lobota Bola ambaye ni staa wa FC Lupopo ya DR Congo. Timu hiyo...
Shabiki Chelsea asomba 122 milioni Ghafla shabiki mmoja wa Chelsea Nurdin Abdallah mkazi wa Kigogo amejikuta milionea baada ya kutusua mkwanja wa Sh 122 milioni kupitia ubashiri wa Premier Bet. Abdallah ambaye hakuwahi kushinda...
Makundi CAF hakuna aliyesalama Wakati mzunguko wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ukifika tamati leo Desemba 10, 2023, timu zote 16 zina nafasi ya kufuzu robo fainali hali inayoashiria ugumu wa mashindano...
PRIME Yanga nguvu yote nyumbani CAFCL Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Medeama juzi, mechi mbili zijazo za nyumbani zimeshikilia kwa kiasi kikubwa ndoto za Yanga kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...