Panga Yanga kupita na mastaa hawa… Ujio wa mchezaji Augustine Okrah katika kikosi cha Yanga unaelezwa unahitimisha maisha ya beki wa kati kutoka Uganda, Gift Fred ambaye tangu asajiliwe hajapata nafasi ya kuingia kikosi cha kwanza...
PRIME Okrah apewa mkataba mgumu Yanga KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Augustine Okrah tayari ameshatambulishwa ndani ya klabu hiyo jana wakati timu yake ikiwa uwanjani kwenye pambano la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, lakini...
Yanga: Tunaanza na nyie, Jamhuri yasema liwalo na liwe UTAMU wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 unazidi kukolea, ikiingia siku ya nne wakati Yanga watakaposhuka kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kukabiliana na Jamhuri iliyojeruhiwa na KVZ katika...
Simba inataka ndoo Mapinduzi, Benchikha abeba wote KIKOSI cha Simba leo kinatarajiwa kuvuka Bahari ya Hindi kwenda Zanzibar tayari kusaka ubingwa wa tano wa Kombe la Mapinduzi 2024, huku benchi la ufundi likidaiwa kufanya kikao na wachezaji na...
ASANTENI WADAU, ILIKUWA SAFARI POA! Takribani miaka 13 tumekuwa wote katika kuhabarishana habari tofauti za michezo na burudani. Hakika tumekuwa na kipindi kizuri cha kukata kiu yako ya michezo na burudani. Nikiwa kama msimamizi wa...
Katumbi yamkuta mapya DR Congo Tajiri wa timu ya TP Mazembe, Moise Katumbi yamemkuta mapya baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda kutazama dabi ya watani kati ya timu yake na FC Lupopo inayopigwa leo. Muda mfupi ujao Mazembe...
PRIME Chama, Phiri waigawa Simba CLATOUS Chama na Moses Phiri wameonekana kuipasua Simba kwa baadhi kutaka waendelee kuwapo klabuni huku wengine wakisema waondoke zao. Awali, ilielezwa kuwa baadhi ya wadau wa klabu hiyo...
PRIME Yanga yapewa pacha wa Maxi, kocha aonya mabeki KLABU ya Union Maniema imenogewa na biashara na Yanga na sasa iko kwenye hatua za mwisho kumwachia winga fundi ambaye alikuwa pacha wa Maxi Nzengeli. Kocha wa Union Maniema ya DR Congo, Papy...
Yanga yamng'oa Mkurugenzi mmoja Uongozi wa Yanga umemng'oa kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wao wa mambo ya wanachama na mashabiki, Haji Mfikirwa, Mwanaspoti linafahamu. Mfikirwa ajira yake hiyo imekoma rasmi jana...
PRIME Karihe anastahili saluti pale Yanga MCHEZAJI yeyote anaweza kutengeneza jina lake kutokana na mafanikio yake ambayo amekuwa akiyapata akiwa uwanjani. Hili ni jambo la kawaida kwa wanasoka, kuna wengine wana majina makubwa, lakini...