Vinicius Junior, Manchester City kuna jambo linaendelea IIMEFICHUKA kuwa Manchester City ni miongoni mwa klabu zinazowania saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Vinícius Junior, 25, kuelekea dirisha lijalo la majira ya...
Barca yamgeukia Joao Pedro kisa Julian Alvarez BARCELONA inaripotiwa kupunguza spidi kuwania saini ya mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, iliyetaka kumsajili katika dirisha lijalo la majira ya...
Man United yamgeukia Alessandro Bastoni MANCHESTER United inajiandaa kutumia nafasi ya Barcelona kusuasua kufikia kiwango cha fedha kinachotakiwa na Inter Milan kwa ajili ya beki wa kati, Alessandro Bastoni, 23, ambaye anatawala kwa...
Kisa Guardiola, Rodri ataka kutimkia Real Madrid REAL Madrid ina imani kubwa ya kumsajili kiungo Rodri kutoka Manchester City baada ya tetesi za kuondoka kwa Kocha Pep Guardiola mwisho wa msimu huu. Kiungo huyo wa Hispania, 29, anaonekana kuwa...
Liverpool, Tottenham macho kodo kwa Camavinga KIUNGO wa Real Madrid na Ufaransa, Eduardo Camavinga, 23, ambaye hajaitwa katika kikosi cha timu ya taifa hilo kitakachoshiriki Kombe la Dunia, anadaiwa kuwa tayari kuondoka dirisha lijalo la...
PSG yampigia hesabu Julian Alvarez PARIS Saint-Germain inataka kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, 26, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Inter Miami, Saudi Arabia zamnyatia Casemiro KATIKA wiki za hivi karibuni, Casemiro amekuwa kama anafanya ziara ya kuaga Ligi Kuu England na mechi ya Jumapili kati ya Manchester United na Nottingham Forest ilikuwa ya kipekee sana kwa...
Ile ishu ya Rashford, Barcelona bado kizungumkuti BARCELONA bado haijafanya uamuzi juu ya kulipa Euro 30 milioni ili kumsajili moja kwa moja mshambuliaji wa Manchester United na England, Marcus Rashford, 28.
Arsenal v Man City mziki uko hapa It’s Winner’s Day. Ni siku ya bingwa. Ndivyo ilivyo wakati lile pambano la Ligi Kuu England kati ya Arsenal na Manchester City linalopigwa leo kwenye Uwanja wa Etihad linaweza kuibua hoja katika...
Anthony Gordon atua katika anga za Bayern Munich BAYERN Munich imeonyesha nia ya dhati ya kumsajili winga wa Newcastle United na England, Anthony Gordon, 25, katika dirisha lijalo la kiangazi.