Rashford awapiga kibega PSG chap Staa, Marcus Rashford ameripotiwa atatupilia mbali ofa ya kwenda kujiunga na Paris Saint-Germain mwishoni mwa msimu huu ili aendelee kubaki zake Manchester United.
PUMZI YA MOTO: Stewards husaidia mashabiki wanaovamia mchezo Kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Mashujaa, Ijumaa ya Machi 15 mwaka huu uwanjani Azam Complex, shabiki mmoja anayedhaniwa kuwa wa Simba alivamia mchezo na kuonekana akifukua vitu kwenye nguzo ya...
PRIME Dube aandaliwa mkataba mnono GUMZO la mshambuliaji wa Azam, Prince Dube, aliyeamua kubwaga manyanga na kutaka kuachana na timu hiyo kabla ya mkataba kumalizika sasa limechukua sura mpya baada ya kupewa ofa. Wakati wengi...
Fei afungukia bao lake kwa Yanga Kiungo wa Azam Feisal Salum, Fei Toto, amesema pamoja na kwamba amefanikiwa kuifunga Yanga, lakini timu hiyo ni bora kwenye Ligi Kuu Bara. Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam...
PRIME Dube aigawa Simba, Yanga PRINCE Dube ameendelea kuzivuruga Simba na Yanga. Mashabiki wa klabu hiyo wamegawanyika kwa sasa baada ya kuibuka kwa taarifa nyota huyo aliyeigomea Azam FC, anatamani kuichezea Yanga, huku...
Chama huyoo mdogo mdogo Simba KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama amezidi kuimarisha namba zake katika Ligi Kuu Bara baada ya juzi usiku kufunga mabao mawili yaliyoizamisha Mashujaa kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam...
Dube aigomea Simba Mtu wa karibu na Dube aliiambia Mwananchi Digital kuwa Simba sio kipaumbele cha kwanza kwa upande wa klabu za hapa Tanzania.
JIWE LA SIKU: Hata Yanga hawakuitaka Mamelodi Sundowns Kuna nyakati huwa unaona kama dunia imekuangukia. Ni kama nyakati hizi ambazo Yanga imepangwa kucheza na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Azam vs Yanga, mechi ya kibingwa na ufundi mwingi Ukisikia mechi dume ndo hii. Ni mechi ya lawama vilevile. Lakini kama utapenda kuiita mechi ya kibingwa pia hautakosea, wakati watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, kesho Jumapili watakapokuwa wageni...
PRIME Dube aipeleka Yanga mezani 300,000 ambacho Azam FC inakitaka ili kumuachia Dube na upo tayari pia kumlipa mshahara ambao nyota huyo anahitaji ili iweze kumnasa na kuimarisha safu ya ushambuliaji ambayo kwa sasa inaongozwa...