PRIME Pointi tatu tata Dabi ya Kariakoo Simba itakuwa mgeni wa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Jumamosi ijayo, mechi ambayo itakuwa na maswali mengi ambayo yanahitaji majibu.
PRIME Ripoti ya Gamondi yashtua Yanga LICHA ya mazoea yaliyopo ya ripoti za makocha kutolewa mwishoni mwa msimu kwa upande wa Yanga mambo ni tofauti baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi kuwasilisha mapema ripoti kwa...
Kipre Jr atupia mbili, Azam ikiiua Namungo MABAO mawili ya kipindi cha pili kutoka kwa Kiungo mshambuliaji, Kipre Junior yameiwezesha Azam FC usiku huu kuiua Namungo ikiwa ugenini katika mechi kali ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye...
Picha hii ina ujumbe mzito Ni jambo ambalo huwa nadra kutokea katika ligi yetu lakini juzi katika Uwanja wa Liti, Singida tumelishuhudia. Baada ya mechi ya Simba dhidi ya Ihefu SC kumalizika kwa sare ya bao 1-1, Kocha...
Mabondia wanaomiliki ndinga zao ZAMANI mabondia wengi wa Bongo walikuwa wanapanda daladala au kukodisha magari kwa ajili ya kufika katika maeneo mengine kabla ya kuibuka kwa uwepo wa pikipiki maarufu bodaboda ambazo wapo baadhi...
PRIME Gamondi, Nabi wakabana koo Sauzi YANGA inajiandaa kushuka uwanjani jioni ya leo kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Singida Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini kuna jambo moja litaishtua klabu hiyo likiibukia...
Ihefu yaongeza presha ya Derby MKWAJU wa penalti uliopigwa na kiungo mshambuliaji, Clatous Chama dakika ya 72, umeisaidia Simba kupata sare ya bao 1-1 ugenini mbele ya Ihefu katika pambano la Ligi Kuu Bara, ikiifanya timu hiyo...
Meneja, Ngassa wamfungukia Mayele ALIYEKUWA meneja wa mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele, Nestor Mutuale amemjibu kimtindo straika huyo akiipongeza klabu yake ya zamani ya Yanga kwa kuendelea kuwa na akili kubwa mbele ya...
PRIME Mazembe yaiweka Simba mtegoni SIKU chache tangu itolewe katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Wekundu wa Msimbazi, Simba inanyemelewa na pigo lingine ambalo ni kushuka kwa nafasi tatu kwenye viwango vya...
Klopp: Tumepigwa, hakuna shida Liverpool imepoteza kwa mabao 3-0 ikiwa nyumbani dhidi ya Atalanta katika mchezo wa Europa League hatua ya robo fainali uliochezwa Anfield, jana usiku, huku kocha wao Jurgen Klopp akisema hakuna...