Namba za Fermin Lopez hazijawahi kudanganya 2+2- FERMIN Lopez ndiye mchezaji wa kwanza wa Barcelona kufunga mabao mawili na kutoa asisti mbili za mabao katika mechi ya LaLiga tangu Lionel Messi alivyofanya hivyo mwezi Oktoba 2019 dhidi ya...
PRIME Tarehe ya kuanzishwa Yanga, Simba na utata wake Kesho, Jumanne ya Februari 11, 2025 Yanga watasherehekea miaka 90 ya kuanzishwa kwao.
PRIME Tarehe ya kuanzishwa Yanga, Simba na utata wake Kesho, Jumanne ya Februari 11, 2025 Yanga watasherehekea miaka 90 ya kuanzishwa kwao.
Swahiba wa Mo Salah afichua jambo zito SWAHIBA wake supastaa wa Liverpool, Mohamed Salah, ambaye ni beki wa zamani wa miamba hiyo ya Anfield, Dejan Lovren amefunguka akidai mabosi wa timu hiyo hawampi heshima anayostahili rafiki yake...
Utamu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, haijaisha mpaka iishe TOFAUTI ya bao moja tu ndilo lililoamua matokeo ya mechi sita kati ya nane za mkono wa kwanza kwenye mchujo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kabla ya kuingia kwenye mechi za marudiano wiki hii.
Maseke aingia anga za wazee wa kujiweka KIPA Wilbol Maseke ameingia katika orodha ya wachezaji waliojifunga Ligi Kuu Bara hadi sasa baada ya jioni ya leo kujikwamisha wavuni wakati akitaka kuokoa mpira wa kichwa uliopigwa na kiungo...
PRIME Djigui Diarra, Yanga kikao kizito UNAKUMBUKA mabao matatu ya hivi karibuni aliyofungwa Yanga? Sasa kocha wa timu hiyo Hamdi Miloud ameona usinchezee. Ameamua kufanya uamuzi wa haraka ili kunusuru jahazi hilo na misukosuko haswa...
Danki 5 za kibabe NBA 2024-25 KATIKA msimu wa NBA wa 2024-25, teknolojia ya kisasa na matumizi ya sayansi ya data ya NBA yameleta mabadiliko makubwa jinsi inavyopimwa na kufuatilia dank za wachezaji.
Fernandes: Man City? Wenyewe tuna shida kibao MANCHESTER, ENGLAND: KIUNGO na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema timu yao ina matatizo mengi kuliko hata kufikiria kiwango cha sasa cha wapinzani wao Manchester City kwenye...
PRIME Diarra, Camara watungiwa sheria mpya Fifa BODI ya Kimataifa ya Vyama vya Soka (IFAB) inayojihusisha na utungaji wa sheria kwenye mchezo wa soka imefichua kwamba kuna jambo jipya linakuja hivipunde kwenye soka la dunia.