Bernardo Silva kuwafuata Ronaldo, Felix Saudi Arabia
KIUNGO wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva, 31, amepanga kutimkia Saudi Arabia dirisha lijalo la majira ya kiangazi kuungana na nyota wenzake wa Ureno, Cristiano Ronaldo...