Ushindi wa Anton Joshua ‘shaka tupu’ MCHAMBUZI maarufu wa michezo, Simon Jordan, ametia shaka ushindi wa Bondia Anthony Joshua dhidi ya Kristian Prenga, akidai kuna mambo "hayako sawa" kuhusu namna pambano hilo lilivyobadilika...
Watanzania 90 wanufaika na kampeni Kombe la Dunia 2026 KAMPUNI ya huduma za fedha kidijitali Mixx imetangaza kuwa droo ya mwisho ya kampeni ya "Ikiingia Tu Goli" itafanyika wiki ijayo, ambapo mshindi mmoja atajishindia Shilingi milioni...
Vipers yaiduwaza Gor Mahia ikifuzu nusu fainali Kagame 2026 Mwanzo mzuri wa Gor Mahia katika michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026, umekatizwa kwa namna ya kusikitisha baada ya kufungwa dakika za mwisho na Vipers SC katika mchezo wao wa pili wa Kundi A
BMT wapongeza ujio wa kocha mbobevu wa kuogelea BARAZA la Michezo la Taifa (BMT), limesema ujio wa kocha wa kimataifa wa mchezo wa kuogelea, Ben Lee kutoka Marekani ni fursa kubwa kwa makocha na waogeleaji wazawa kujifunza ujuzi wa viwango vya...
Petit amkata Kane mbio za Ballon d'Or 2026 NGULI wa zamani wa soka wa Ufaransa, Emmanuel Petit, anaamini kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, hana tena nafasi ya kutwaa tuzo ya Ballon d'Or 2026...
Dullah Mbabe simu tatu ndizo sababu ya kipigo ulaya mihadarati na makundi ya ajabu, halafu ufanye kazi. Ni kweli unatumia mihadarati na una makundi ya ajabu? JIBU: “Kwanza neno mihadarati lina maana gani? (akafanuliwa na mwandishi kwamba ni...
Wadau wazionya Simba, Yanga kimataifa, Azam, Singida BS zikitabiriwa makubwa WAKATI Tanzania ikibaki na wawakilishi watano katika michuano ya kimataifa ngazi ya klabu msimu huu 2025-2026, wadau mbalimbali wa soka hapa nchini, wamezipa nafasi kubwa timu nne za Tanzania...
Hussein Jumbe (7) - apewa kesi ya Ukimwi . Akiwa katika hali hiyo, madai mazito yakasambaa mitaani kuwa mwanamuziki huyo alikuwa ameathirika na Ugonjwa wa Ukimwi. Anasema wana ndugu, mkewe na Mpakanjia wakiwa kwenye kikao cha kufanya...
Maajabu ya no 25 Azam VS Yanga moja kati ya namba mbili tu ambazo kipeuo chake cha pili kinaishia na namba hiyohiyo...yaani 25² = 625. Namba nyingine ni 76. MAAJABU YAKE Namba hii ina maajabu yake katika nyanja tofauti tofauti...
Said Fella: Hiki ndo kilichompeleka Zuchu Wasafi UKITAKA kuzungumzia muziki wa kizazi kipya, hakuna namna utaweza kuumaliza wote bila kutaja jina la Mkubwa Fella, yaani hiyo haiwezekani. Mkubwa Fella ambaye jina lake halisi ni Saidi Fella...