Hapa ndiyo lilipo anguko la Simba Mchezo wa saba wa ngao ya jamii baina ya watani wa jadi wa Tanzania, Yanga na Simba, umeamuliwa na bao la dakika ya 43 la Mbappe wa Kindu, Maxi Nzengeli.
Familia ya Mandojo yataja msiba ulipo Msiba wa mwanamuziki na mfanyabiashara, Joseph Francis maarufu Mandojo kwa siku ya leo upo Dodoma kwa ajili ya taratibu nyingine za mazishi.
Kizimkazi Festival ni zaidi ya Tamasha Ni zaidi ya tamasha! Ndivyo unaweza kutamka wakati tamasha la nne la Kizimkazi likifunguliwa Jumapili ijayo mjini hapa, linatajwa kufungua fursa mbalimbali za kijamii, kimichezo na kiuchumi.
Kenya yaibeba Afrika Olimpiki 2024 WAKATI michezo wa Olimpiki ikitarajiwa kufungwa rasmi leo kuhitimisha siku 19 za msimu wa michezo hiyo inayofanyikia Paris, Ufaransa nchi ya Kenya ndio iliyolibeba bara la Afrika kwa kuongoza...
Kenya yaibeba Afrika Olimpiki 2024 WAKATI michezo wa Olimpiki ikitarajiwa kufungwa rasmi leo kuhitimisha siku 19 za msimu wa michezo hiyo inayofanyikia Paris, Ufaransa nchi ya Kenya ndio iliyolibeba bara la Afrika kwa kuongoza...
Tanzania yatoka kapa Olimpiki 2024 KWA mara nyingine tena Tanzania imetoka kapa katika Michezo ya Olimpiki 2024 wanariadha waliokuwa wamesalia katika michezo hiyo inayomalizika leo jijini Paris, Ufaransa Magdalena Shauri akimaliza...
Yanga vs Azam hapa sasa mtainjoi, kisasi kitalipwa HII utaipenda na mtasema mlikujaje. Ndivyo unavyoweza kusema wakati fainali ya mechi za Ngao ya Jamii itakapopigwa kesho Jumapili. Ndio, ni bonge la mechi kwa mashabiki wa soka nchini. Achana na...
Ni fainali ya Ufaransa na Hispania Olimpiki leo za nyongeza. Hispania yenyewe ilifanikiwa kufika fainali baada ya kuifunga Japan mabao 3-0 kwa mabao mawili kutoka Fermin huku lingine likifungwa na Abel Ruiz na kuifanya timu hiyo kuingia fainali.
Simba kama imebipu namba 28 ya Manula MABOSI wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba ni kama jana Alhamisi ilibifu juu ya namba 28 ya kipa Aishi Manula baada ya kumtambulishia kipa mpya wa timu hiyo, Moussa Camara kabla ya pambano...
NIONAVYO: Riadha yetu inahitaji kazi ya ziada WIKIENDI iliyopita Jumamosi na Jumapili, Jiji la Dar es Salaam na nchi kwa jumla kulikuwa na shamrashamra na mashamushamu kutokana na matamasha mawili makubwa ya klabu maarufu za Simba na Yanga.